Mimi bado sijawajua na wala sijafahamu kama ameshapata maadui wengine wapya hivi karibuni ambao ni tofauti na wale ambao alikuwa nao siku zote, anaowafahamu
Acha kelele wewe Ingia mtaani kapambane na maisha upate hela daily kuanzisha thread humu za Mama haitakusaidia kwa lolote lile hakuna leader yoyote atakayekupa hela mkononi nenda kazitafute Acha kulalamika lalamika kama mtoto wa kike