Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Ulivyoambiwa uchanje ulichanja?Corona imerudi kwa kasi wakuu, tuchukue taadhar Niko kitandani naumwa sana
Imerudi kutoka wapi?Corona imerudi kwa kasi wakuu, tuchukue taadhar Niko kitandani naumwa sana
Pole sana mkuu, huku mtaani habari za barakoa na kunawa mikono tushasahauCorona imerudi kwa kasi wakuu, tuchukue taadhar Niko kitandani naumwa sana
Mm naishi zanzibar mkuu, kiukweli mpaka sasa sijajua ni wapi naweza chanja japo nataman sanaUlivyoambiwa uchanje ulichanja?
Nenda mnazi mmoja hospital yao kuu.Mm naishi zanzibar mkuu, kiukweli mpaka sasa sijajua ni wapi naweza chanja japo nataman sana
Asante mkuuNenda mnazi mmoja.hospital yao kuu.
Kuna mlipuko mkubwa uliotangazwa na WHO kwenye mabara ya Ulaya na Asia kuliko uliowahi kutokea tangu 2020. Hata waliochanja nao wamo. Wimbi la nne limeishateketeza maisha 500,000 na maambukizi yaliyovunja rekodi ya watu 20ml Ulaya ndani ya kipindi kifupi sana. China iliyojiita "Zero Covid" haijasalimika, imebaini idadi iliyovunja rekodi ya maambukizi. Afrika inatakiwa ichukuwe tahadhari kubwa, iko salama kwa sasa kwasababu tu ya janga la ukame unaolipiga hivi sasa, Afrika ikianza majira ya mvua baada ya ukame huu huenda maambukizi yakawa ya kutisha. #MUNGU tuuu...Imerudi kutoka wapi?
Utaishi mkuu, kuwa jasiri, wewe ni mshindi.Corona imerudi kwa kasi wakuu, tuchukue taadhar Niko kitandani naumwa sana
Na ilienda wapi?Imerudi kutoka wapi?
Mtaa gani...?!Mm naishi zanzibar mkuu, kiukweli mpaka sasa sijajua ni wapi naweza chanja japo nataman sana