Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu kwamba ni kwanini viongozi (Top Brass) hawavai barakoa za hospitali (surgical masks) badala yake wanavaa ambazo haziwezi kutumika kwenye mazingira ambayo zile za hospitali zinatumika? Zile za kihospitali zina dawa ila hizi zingine zisizo za kihospitali hazinaga dawa.
Jaribu kuwafuatilia utagundua ninachokisema.
1. Barakoa salama ni ipi?
2. Barakoa zivaliwe ngapi kwa siku?
3. Barakoa za kitabibu na zisizo za kitabibu, zipi zina viwango vya kimataifa ISO?
4. Barakoa gani ambayo ina dawa za kuua vimelea; dawa ambayo inaifanya iwe salama?