Usalama wa Barakoa

Usalama wa Barakoa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu kwamba ni kwanini viongozi (Top Brass) hawavai barakoa za hospitali (surgical masks) badala yake wanavaa ambazo haziwezi kutumika kwenye mazingira ambayo zile za hospitali zinatumika? Zile za kihospitali zina dawa ila hizi zingine zisizo za kihospitali hazinaga dawa.

Jaribu kuwafuatilia utagundua ninachokisema.

1. Barakoa salama ni ipi?
2. Barakoa zivaliwe ngapi kwa siku?
3. Barakoa za kitabibu na zisizo za kitabibu, zipi zina viwango vya kimataifa ISO?
4. Barakoa gani ambayo ina dawa za kuua vimelea; dawa ambayo inaifanya iwe salama?
 
Barakoa za nini tena, si tumekubaliana covid imeisha!!
 
Imerudi kutoka wapi?
Kuna mlipuko mkubwa uliotangazwa na WHO kwenye mabara ya Ulaya na Asia kuliko uliowahi kutokea tangu 2020. Hata waliochanja nao wamo. Wimbi la nne limeishateketeza maisha 500,000 na maambukizi yaliyovunja rekodi ya watu 20ml Ulaya ndani ya kipindi kifupi sana. China iliyojiita "Zero Covid" haijasalimika, imebaini idadi iliyovunja rekodi ya maambukizi. Afrika inatakiwa ichukuwe tahadhari kubwa, iko salama kwa sasa kwasababu tu ya janga la ukame unaolipiga hivi sasa, Afrika ikianza majira ya mvua baada ya ukame huu huenda maambukizi yakawa ya kutisha. #MUNGU tuuu...

What are the new names of existing COVID-19 variants?​

The current list of COVID-19 variants includes 10 mutations, according to CNN and The Guardian. According to CNN, the four variants of concern and their new names include:

  • Variant B.1.1.7, first identified in Kent, the United Kingdom, is now called alpha.
  • Variant B.1.351, first identified in South Africa, is now called beta.
  • Variant P.1, first identified in Brazil, is now called gamma.
  • Variant B.1.617.2, first identified in India, is now called delta.
Two other variants first identified in the U.S. have received new Greek names. According to CNN, these include:

  • Variant B.1.427/429 is now called epsilon.
  • Variant B.1.526 is now called iota.
Chanzo: Deseret News.

NB.

Hivi Tz kama taifa, hadi sasa tumefikia wapi kwenye utafiti wa Coronavirus?
1. Je, utafiti wa chanjo ya Corona tuko asilimia ngapi mpaka sasa?
2. Je, taifa kupitia mhimili wa Bunge limetenga rasilimalifedha kiasi gani (jumla kuu) kwenye 2021-2022?
3. Je, taifa lilitumia kiasi gani cha rasilimalifedha katika kupambana ya Covid 19 kwenye bajeti ya 2020-2021?
4. Katika fedha zote za mapambano na utafiti wa Covid 19 fedha za ndani ni asilimia ngapi? na za nje ni asilimia ngapi? katika hizo, misaada ni asilimia ngapi? na mikopo ni asilimia ngapi?


Uganda na Rwanda wako zaidi ya asilimia 50 Uganda ikiwa mbele ya Rwanda kwenye utengenezaji wa chanjo ya Corona.
 
Mm naishi zanzibar mkuu, kiukweli mpaka sasa sijajua ni wapi naweza chanja japo nataman sana
Mtaa gani...?!

Uliipata wapi maana znz ..ni kama haipo kabisa.hama mkuu kwa mda Rudi mrima Kwanza..
 
Back
Top Bottom