Usalama.wa HQ Human Cherish Pads and Pantliners

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
5,875
Reaction score
3,112
Habari wadau,
for ladies ambao mnatumia au mshawahi tumia PAds au pantliner za Human Cherish mtakubaliana na mimi kuwa huwa zina leta a high level of comfort na dryness mtu ukiwa kwenye siku zako,lakini pia ile ukivaa tu unasikia kama kipupwe hivi kinapuliza,it feels good lakini mhhhhh inaogopesha pia,
zina usalama.kweli hizi bidhaa????
kama not safe.which ones are?
msaada pls
nawasilisha
 
wanasema hazina madhara ila hali ya ubaridi ule inatishaga hata mi sometime
 
Heee kumbe mnasikiaga raha mkizivaa so huwa mnahisi ubaridi kivipi kama dushe au???!!!

Sio kama dushe wewe sogea huko........ni kama mint.......kibaridi fulani hivi.......yaani unatembea kama unadundadunda kwa raha.........full kipupwe.........
 

Swali zuri kweli shost.......tena wanasema.......zinasaidia kupunguza maumivu kwa wale wanaokuwa wanaumwa wakiwa kwenye siku.......how......I don't know.......na kupunguza mtiririko kama ni mkubwa.........sasa hapo ndio sijui zina nini hasa.......tusubiri wajuzi waje.......
 

hio hata.mi nishasikia,sasa sijui zinawekwa nini cha zaidi aisee
 
si HC tu hata sabuni ya kuogea dettol cool nayo inafanya hii hali. napenda novojisikia nikitumia HC pia dettol cool ila cjui ni nini kinasababisa ivo na cjui weather ts safe or not
 
Hc ndo pedi nzuri na si ghali kama hizo zakupa wasiwasi kwa kile kibaridi tafuta glory pads ni nzuri na salama zaidi bei kuanzia 5000.....Zinapatikana kwenye supermarkets kubwa na maduka ya dawa ya jumla.
 
inidhuru tu jamani. Kati ya pads zilizonisaidia hq inaongoza. Uuwii rahaaa watuwache tupumuwe maana lile joto lilikua linanikera sana
 
Mbona huku kwetu uswahilini watu wanatupia vipande vya khanga....is that safe ladies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…