Usalama wa taifa chunguzeni hili,

Usalama wa taifa chunguzeni hili,

Status
Not open for further replies.

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,130
Reaction score
2,102
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.
 
Hawataifuatilia hiyo ishu ungesema cdm wanataka fanya maandamano wangefuatilia kwa juhudi kubwa. Hilo suala la karate kwa wavaa vipedo kila sehemu wanafanya. Ukienda maawal secondary na shule 1 ya seminary ya kiislam mkoani katavi utawakuta wanapiga karate na judo tu.
 
Wanaharibu tu watoto wadogo na kuwajengea roho ngumu ambazo hawakustahili kuwa nazo wakiwa watu wazima. Kama ni kweli, wanatengeneza tabaka lingine ambalo litakuja kuwa mwiba hata kwao. Yaani mizigo. Peleken watoto shule
 
Hata hapa kiwalani, kwani unadhani hawafahamu, ila sasa watafanya nini bosi kawaambia tulieni
 
Baadhi ya Misikiti
ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo
hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa
ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga
khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo
maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa
vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti
Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si
ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga
mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na
inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.

mkuu, ungetumia busara zaidi ungetaja na majina ya hiyo misikiti kama una lengo jema. vinginevyo, wewe ni aina ya watu wanaostahili kunyongwa kwa kuendeleza malumbano yasiyohitajika
 
Hata hapa kiwalani, kwani unadhani hawafahamu, ila sasa watafanya nini bosi kawaambia tulieni

hoja hizo zilijitokeza hasa wakati wa mzee mkapa. uchunguzi ulivyofanyika ikabainika kuwa ni uchochezi wa baadhi ya wakristo ili waislam waonekane ni dhalili katika nchi hii. juzi tu walizusha pia kule ukerewe kuna chuo cha ugaidi kinachosimamiwa na waislam kumbe ni umbea tu wa watu wachache
 
Hata hapa kiwalani, kwani unadhani hawafahamu, ila sasa watafanya nini bosi kawaambia tulieni

kiwalani ni kubwa mkuu. vema ukataja specifically ni msikiti gani huo. shida yenu ni kuwa mnataka kuingia hata sehem isiyowahusu. msipopata bahati ya kuingia ndo mnaanza kuzisha
 
tunataka kile kikao cha diamond jubillee kilichojadiliwa tujue make baada ya kile kikao wenzetu walipata nguvu sana
 
UNAFIKI WENU UTAWAUWAAAA...
Hili tatizo la Tanzania kuangalia hizi issue upande mmoja ni HATARI KUBWA SAAAAAANA.....kuliko tunavyodhania na kuhadithiana humu kwa majina ya kificho !

SAINT BENEDICT FATHER'S - PERAMIHO wao pale parokia , Sijui jimboni Songea ndio wanavyooita WANAMILIKI KABISA SILAHA ZA KIVITA.

Source: Gazeti la RAIA MWEMA.

SWALI;

Zimeingiaje hapa nchini silaha hizo na kwa madhumuni gani ? Tusifiche uchafu chini ya kapeti

HOJA;
Mnataka wasijifunze Karate na Judo. Sawaaaa.... Badala yake wajifunze nini ? Kuimba mapambio ama mila zile za ki ANGLIKANA ?
 
Mafunzo ya karate kwa ajili ya kumpiga kafiri? Kweli nchi itakuja kuendelea hiyo? Kwanini mnapenda kuleta hoja zisizo na maana, kwanini hamfikirii kwanza; mnapoleta hizi hoja za kidini mnafaidika nini? Katika akili yako hii dunia ya leo iliyojaa kila aoina ya vyombo vya moto then karate inaweza kuwa njia ya kupambana kama unavyotaka kuamini? Lakini sjui umekulia wapi, sisi tuliokulia mjini hii (Karate) ndio iliyokuwa michezo yetu kila kona za jiji hilo la Dar. Na hata wale waliokulia vijijini, walicheza hiyo michezo ya karate, sarakasi kwenye pumba za nafaka; na pia si karate tu michezo yooooote inakuza akili kwa watoto; what's wrong kwa hao watoto wanaofundishwa karate wee unataka binadam uwe lazylazy. Lakini pia toka Tanzania uende duniani japo hapo Japan, Korea China; kila elementary school kuna mafunzo ya karate kwa ajili ya watoto pamoja na michezo mingine ya ukakamavgu. Hebu tujadili umaskini wa watanzania aisey badala ya kuleta kila linalokujia kichwani.
 
Naomba kuuliza....

Hivi hizo karate wanazojifunza wana-apply wapi? Kwasababu mimi naona wao ni watu wa kujilipua tu sasa karate na kujilipua wapi na wapi?!
 
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.

Nadhani kuwapa vijana mazoezi ya ukakamavu siyo tatizo, hata Wasabato wanapokuwa kwenye Makambi huwapa vijana mafunzo ya ukakamavu, tusiwaonee Waisalmu.
 
kiwalani ni kubwa mkuu. vema ukataja specifically ni msikiti gani huo. shida yenu ni kuwa mnataka kuingia hata sehem isiyowahusu. msipopata bahati ya kuingia ndo mnaanza kuzisha

Usiangaike kutafuta ikiwa Kiwalani au wapi, ni vile hawana uwezo wa waalimu na vifaaa vinginevyo ilitakiwa kila panapo madrasa pia panatakiwa pawepo na eneo kwa ajili ya michezo yote; Karate, mpira wa miguu, riadha nk. Hii karate inapewa msistizo kutokana na ukweli kwamba karate ni mchezo unaotumia akili nyingi na vigumu kuucheza majumbani kwa watoto tofauti na michezo mingine kama soka. Tuacheni kufikiria ujinga, tatizo la Tanzania ni umaskini na huduma mbovu za kijamii zinazoletwa na mafisadi wanaolindwa na ccm, so shime tuitoe ccm tu madarakani haya mengine ni repercussions za uduni wa hali za watanzania ndio unaona matukio ya ajabu ajabu yanayotoke!
 
Nadhani kuwapa vijana mazoezi ya ukakamavu siyo tatizo, hata Wasabato wanapokuwa kwenye Makambi huwapa vijana mafunzo ya ukakamavu, tusiwaonee Waisalmu.

Nchi hii ni ya Wakristo peke yao ?
Juzi Maaskafo wamekwenda kwa JK - IKULU wanamueleza Umbea & Majungu ati kuwa ISLAMIC BANKING ni tatizo.... Watu wazima waliokwenda shule wanapata tabu na mfumo wa Ki Bank unaompendeza MUNGU....??

Yaaani hata sijui wanataka Waislamu nchi hii wahame ? Hata sielewi....
 
UNAFIKI WENU UTAWAUWAAAA...
Hili tatizo la Tanzania kuangalia hizi issue upande mmoja ni HATARI KUBWA SAAAAAANA.....kuliko tunavyodhania na kuhadithiana humu kwa majina ya kificho !

SAINT BENEDICT FATHER'S - PERAMIHO wao pale parokia , Sijui jimboni Songea ndio wanavyooita WANAMILIKI KABISA SILAHA ZA KIVITA.

Source: Gazeti la RAIA MWEMA.

SWALI;

Zimeingiaje hapa nchini silaha hizo na kwa madhumuni gani ? Tusifiche uchafu chini ya kapeti

HOJA;
Mnataka wasijifunze Karate na Judo. Sawaaaa.... Badala yake wajifunze nini ? Kuimba mapambio ama mila zile za ki ANGLIKANA ?
Siyo vizuri kabisa kuendekeza mambo haya ya udini, iko haja kusimama kidete na kupingana na yeyote mwenye kupenda kuleta mada za aina hii humu JF bila ujali ni wa dini yako au la, mimi ni mkristo lakini mada za udini siziungi mkono hata mar moja.
 
Serikali dhaifu na inayoongozwa na mtu dhaifu.
 
Nchi hii ni ya Wakristo peke yao ?
Juzi Maaskafo wamekwenda kwa JK - IKULU wanamueleza Umbea & Majungu ati kuwa ISLAMIC BANKING ni tatizo.... Watu wazima waliokwenda shule wanapata tabu na mfumo wa Ki Bank unaompendeza MUNGU....??

Yaaani hata sijui wanataka Waislamu nchi hii wahame ? Hata sielewi....

Nadhani rais aliwaita kwa nia njema, na ni Rais mwenye kusikiliza hoja za watu bila kujali ni wa dini gani lakini sote ni mashahidi kuwa Rais wetu ni mtu wa kukurupuka kukubalina na kila jambo kabla ya kupima kama lina maslahi kwa taifa, tusubiri tu yote waliongea na Rais yatafanyiwa kazi kufuatana na uzito wa kila jambo na yale ambayo hayana tija sidhani kama yatakubaliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom