Usalama wa taifa chunguzeni hili,

Usalama wa taifa chunguzeni hili,

Status
Not open for further replies.
Serikali dhaifu na inayoongozwa na mtu dhaifu.

SANTURI ZA CHADEMA HIZI, zimepitwa na wakati, haya Rais dhaifu lakini ni rais wa watu na anawapuuza kwa matusi yenu na kuelekeza nguvu zake kuwaletea watanzania maendeleo.
 
Hawataifuatilia hiyo ishu ungesema cdm wanataka fanya maandamano wangefuatilia kwa juhudi kubwa. Hilo suala la karate kwa wavaa vipedo kila sehemu wanafanya. Ukienda maawal secondary na shule 1 ya seminary ya kiislam mkoani katavi utawakuta wanapiga karate na judo tu.
Ni kutaka kuendekeza tu majungu kuwa vyombo vya dola vinafuatilia CDM, hii inaweza kuwaaminisha watanzania kuwa hata hao wanaodhaniwa kuwa wanafanyiwa mambo ya utekaji ni vibaraka wa CHADEMA na ndiyo maana kila wanapokumbwa na mikasa hiyo CHADEMA ndiyo wanakuwa wa kwanza kupiga kelele, mbona kuna matukio mengi sana ya kinyama yanafanyika hapa nchini lakini kamwe hao CDM hawajitokezi kuyakemea kama kweli wana uchungu? Mauaji ya ALBINO nakumbuka waziri Mkuu aliliongelea kwa uchungu bungeni wapinzanindiyo walikuwa wa kwanza kumsakama au ALBINO hawana haki ya kutetewa?
 
mkuu hapo kwenye hapo kwenye red kwa uelewa wangu hakuna kitu kama hicho kwa waislam kama kuna shule ya kiislam na wanatumia neno seminary basi wamechukua mfumo ukristo bila wao kujua nini maana y hilo neno neno seminary linatumiwa na wakristo au wayahudi tu (jewish) kwa uelewa wangu kama sijakosea
[h=3]sem·i·nar·y[/h][TABLE="class: vk_txt ts"]
[TR]
[TD]Noun

[TABLE="class: ts"]
[TR]
[TD]
  1. A college that prepares students to be priests, ministers, or rabbis.
  2. A place or thing in which something is developed or cultivated: "a seminary of sedition".
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sijaona shehe hapo labda kuna maana nyingine nielewesheni

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Waanze na pale kiwalani oposite na kiwanda cha mohamed interprises kuelekea bom bom pale nahisi hata silaha watakuwa nazo mle maana ni kareti alafu ni sir
 
Mleta mada ni mpumbavu sana inaelekea ni mwanasiasa na ana chama kinachopenda ubaguzi na hata wanaomuunga mkono utaona ni walewale pumbavu kabisa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.

ndugu mtoa mada...,uislam unahimiza kufanya mazoezi,kwa mfano kuogelea,,,nimesoma shule ya kiislam na tulikua tunafundishwa kuogelea na wanaopenda wanafundishwa karate,,miongoni mwa mafunzo ya karate ni tabia nzuri na uhimizo wa kutopenda fujo na itumike for self defence.! Uoga wako usipotoshe jamii! Hakuna lifanywalo kwa usiri ndugu!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.
Pombe za mtama zina madhara kweli. Tutolee umbea wako hapa.
 
Tusivutie kamba kwenye imani zetu.Kikinuka hakuna atakayepona uwe wewe au mimi!
Haya yanayoendelea yanafahamika kwa wachache huku wananchi tunaishia kuwa wahanga!
"The war is going on but the reason under cover" by Black Eyed Peas.
 
Siyo vizuri kabisa kuendekeza mambo haya ya udini, iko haja kusimama kidete na kupingana na yeyote mwenye kupenda kuleta mada za aina hii humu JF bila ujali ni wa dini yako au la, mimi ni mkristo lakini mada za udini siziungi mkono hata mar moja.

Nadhani rais aliwaita kwa nia njema, na ni Rais mwenye kusikiliza hoja za watu bila kujali ni wa dini gani lakini sote ni mashahidi kuwa Rais wetu ni mtu wa kukurupuka kukubalina na kila jambo kabla ya kupima kama lina maslahi kwa taifa, tusubiri tu yote waliongea na Rais yatafanyiwa kazi kufuatana na uzito wa kila jambo na yale ambayo hayana tija sidhani kama yatakubaliwa.

SANTURI ZA CHADEMA HIZI, zimepitwa na wakati, haya Rais dhaifu lakini ni rais wa watu na anawapuuza kwa matusi yenu na kuelekeza nguvu zake kuwaletea watanzania maendeleo.

Ni kutaka kuendekeza tu majungu kuwa vyombo vya dola vinafuatilia CDM, hii inaweza kuwaaminisha watanzania kuwa hata hao wanaodhaniwa kuwa wanafanyiwa mambo ya utekaji ni vibaraka wa CHADEMA na ndiyo maana kila wanapokumbwa na mikasa hiyo CHADEMA ndiyo wanakuwa wa kwanza kupiga kelele, mbona kuna matukio mengi sana ya kinyama yanafanyika hapa nchini lakini kamwe hao CDM hawajitokezi kuyakemea kama kweli wana uchungu? Mauaji ya ALBINO nakumbuka waziri Mkuu aliliongelea kwa uchungu bungeni wapinzanindiyo walikuwa wa kwanza kumsakama au ALBINO hawana haki ya kutetewa?

Umeritadi? ...CDM imeingiaje?... Hoja ni udini, .. Umeanza vizuri saaana, ukarudi kwenye chuki zilezile za kidini!
 
Mleta mada ni mpumbavu sana inaelekea ni mwanasiasa na ana chama kinachopenda ubaguzi na hata wanaomuunga mkono utaona ni walewale pumbavu kabisa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hoja nzuri, palipokolezwa umechemka!
 
Watu kwa upumbavu hawajambo! Hata huko ambako kuna vurugu zinazohusisha Waislamu ni lini ulipata ckia watu wanauana kwa judo, karate na kung fu?! Eti mafunzo yanafanyika kwenye vyumba vya siri; hivi chumba ambacho wadau wake ni watoto wadogo utaita vyumba vya siri?! Aidha, ikiwa una uhakika jambo lipo, kuna sababu gani ya kufanya uchunguzi....si uende tu polisi ukatoe ushahidi kwamba kuna watu wanahatarisha amani ya nchi kisha wakakamatwe!

BTW, hivi hata huko kwenye machafuko na mauaji yanayofanywa na waislamu, ushawahi kusikia kwamba kuna kanisa limeshambuliwa au kuna watu wamevamiwa na waislamu na kuanza kupigwa judo na karate? Au hiyo ni new technique established in Tanzania?
 
Usalama waanze kwanza na hii gym hapa DAR:

Dance and Karate for Kids! | Rio Quality Gym & Spa - Massage - Beauty Salon - Dar es Salaam - Tanzania

karate610-500x220.jpg
 
Hawataifuatilia hiyo ishu ungesema cdm wanataka fanya maandamano wangefuatilia kwa juhudi kubwa. Hilo suala la karate kwa wavaa vipedo kila sehemu wanafanya. Ukienda maawal secondary na shule 1 ya seminary ya kiislam mkoani katavi utawakuta wanapiga karate na judo tu.

Inasikitisha sana kama ni kweli, ikiwa watoto wao watajengwa katika misingi hiyo, na upande wa pili nao ukawajenga wa kwao katika misingi hiyo hiyo, kizazi baada ya chetu kitakuwa hatari sana, itafika wakati watoto hao hawatakuwa hata discussion group moja shuleni kwa sababu ya haya mambo tunayoyaachia yaendelee hadi kwa watoto! Hapa nakumbuka msemo wa kiswahili usemao" ukicheka na nyani utavuna mabua". Mungu ibariki TZ niipendayo na utuepushie mbali kabisa na mambo yanayoendelea.
 
Tusivutie kamba kwenye imani zetu.Kikinuka hakuna atakayepona uwe wewe au mimi!
Haya yanayoendelea yanafahamika kwa wachache huku wananchi tunaishia kuwa wahanga!
"The war is going on but the reason under cover" by Black Eyed Peas.

Kinuke kwa hizo judo jamani?, mbona nyie magamba mnatuchanganya na hizi propaganda zenu, hebu acheni upuuzi. Yaani watu wajifundishe judo kwa ajili ya kupambana kivita? katika dunia hii yenye vyombo vya moto kila kona? Isije kuwa hata judo hamujui ni nini? hizi si zinafundishwa kila kona ya nchi, hata katika Gym huko ziko kibao, sasa cha ajabu ni zikifundishwa katika madrasa? mnaboa jamani mnapogeuza JF jukwaa la watoto wa ki-FB
 
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.

Thanks for putting this matter here for public discussion. This is not news. It has been happening for a longtime now. One question begs: Is there criminality in practicing judo or karate in a mosque or church?? Finally, just provide details here of such mosques - exact location etc
 
Mleta mada ni mpumbavu sana inaelekea ni mwanasiasa na ana chama kinachopenda ubaguzi na hata wanaomuunga mkono utaona ni walewale pumbavu kabisa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
we huangalia mleta mada au unasoma mada yenyewe?
 
Jamani tuache kuzozana kisa maswala haya ya udini, tunapotezewa muda wa kuto concetrate kwenye bajeti yenye mapungufu kibao, tukiwa kama watanzania tuishi kwa amani na upendo siku zote kama tulivyokuwa tukiishi zamani, hakuna haja ya kuanza kuchukiana kisa dini.
Nchi hii si ya waislamu wala waikristo hii ni nchi ya WATANZANIA WOTE,
TANZANIA BILA YA UDINI INAWEZEKAZA
 
Yeah, na mm nilitaka niutaje huo nilipita jana..serikal iangalie wala isidharau jambo hili kwakua sio utaratib wetu hapa tz
Yaani kwa mawazo haya, bora wenye akili zenu jichangeni mje zenu Ulaya aisee hiyo nchi ya bongo haitobadilika asialani, watu wana shahada za hadi za uzamivu, lakini hawawezi kutafakari hata jambo dogo. Sasa serikali ifanye nini? ipige marufuku Judo au? si warudishe viwanja vya wazi kama ilivyokuwa zamani ambapo tulikuwa tukicheza michezo hiyo. Siku hizi si hakuna viwanja vya wazi michezo itachezwa wapi. Judo ni mchezo wa akili na ukakamavu tu si zaidi. Hakuna mtu atakeyeandaa watu kujifunza judo wakapambane na mwenye SMG!!!? only Tanzania where you can find people are arguing in such rubbish-things"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom