steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
hz dini hz inatakiwa tuzisikize kwa kufikiria sana,wakati mwingn huwa nafikiria hv hawa viongoz wa dini wanaopaplisha waumini wa dini yao wawachukie wa dini nyingn je ndo mungu wao ndo anavyowaagiza hvyo au wana wa adam wanayatafsiri vbaya maandiko,hv kuna mungu anayependa binadamu wengn aliowaumba wauliwe jamani,au ni mapenzi mabaya ya hzo dini