umenena mkuu pia kuna kiwanja cha ndege,wale wazungu hubeba dhahabu,vito na pembe za ndovu bila bugdha.kuna mahandaki kati ya hospital na mission hakuna mswahili kupitia humo!UWT chunguzeni hawa wanaiba rasilimali zetu kwa kisingizio cha diniUNAFIKI WENU UTAWAUWAAAA...
Hili tatizo la Tanzania kuangalia hizi issue upande mmoja ni HATARI KUBWA SAAAAAANA.....kuliko tunavyodhania na kuhadithiana humu kwa majina ya kificho !
SAINT BENEDICT FATHER'S - PERAMIHO wao pale parokia , Sijui jimboni Songea ndio wanavyooita WANAMILIKI KABISA SILAHA ZA KIVITA.
Source: Gazeti la RAIA MWEMA.
SWALI;
Zimeingiaje hapa nchini silaha hizo na kwa madhumuni gani ? Tusifiche uchafu chini ya kapeti
HOJA;
Mnataka wasijifunze Karate na Judo. Sawaaaa.... Badala yake wajifunze nini ? Kuimba mapambio ama mila zile za ki ANGLIKANA ?
Nchi hii ni ya Wakristo peke yao ?
Juzi Maaskafo wamekwenda kwa JK - IKULU wanamueleza Umbea & Majungu ati kuwa ISLAMIC BANKING ni tatizo.... Watu wazima waliokwenda shule wanapata tabu na mfumo wa Ki Bank unaompendeza MUNGU....??
Yaaani hata sijui wanataka Waislamu nchi hii wahame ? Hata sielewi....
umenena mkuu pia kuna kiwanja cha ndege,wale wazungu hubeba dhahabu,vito na pembe za ndovu bila bugdha.kuna mahandaki kati ya hospital na mission hakuna mswahili kupitia humo!uwt chunguzeni hawa wanaiba rasilimali zetu kwa kisingizio cha dini
Mimi naona si busara kuitaja hiyo misikiti kwani wahusika aliowaomba wafuatilie wakifanya hivyo wataifahamu tu. Kuitaja ni kuleta ugomvi na marumbano yasiyokua na msingi waswahili walisema lisemwalo lipo hivyo ni vema wanausalama wakafuatilia bila kua biased. Unajua machafuko yatokeapo hayatajali imani ya mtu ndugu yangu wote tutawekwa kundi moja haina maana kua walio na imani fulani watapata mahitaji yote muhimu kama maji ,madawa ,na chakula nyakati hizo la hasha huduma zote zitasimama . Tumuombe mola atupe kheriNi vizuri ungeitaji hiyo misikiti
tatizo sio dini, ila ni udhaifu wa serikali,
Mkuu kama kuna kitu kama hicho basi ni vema wanausalama wakafuatilia. Kama silaha hizo unazosema zipo basi wafuatiliwe maana lengo letu ni kuishi nchi ya amani si unajua mkuu vurugu zianzapo hazichagui itikadi ya mtu wote ni mashahidi wa wenzetu hima tuungane kufichua njama potofu mahali popote bila aibu.UNAFIKI WENU UTAWAUWAAAA...
Hili tatizo la Tanzania kuangalia hizi issue upande mmoja ni HATARI KUBWA SAAAAAANA.....kuliko tunavyodhania na kuhadithiana humu kwa majina ya kificho !
SAINT BENEDICT FATHER'S - PERAMIHO wao pale parokia , Sijui jimboni Songea ndio wanavyooita WANAMILIKI KABISA SILAHA ZA KIVITA.
Source: Gazeti la RAIA MWEMA.
SWALI;
Zimeingiaje hapa nchini silaha hizo na kwa madhumuni gani ? Tusifiche uchafu chini ya kapeti
HOJA;
Mnataka wasijifunze Karate na Judo. Sawaaaa.... Badala yake wajifunze nini ? Kuimba mapambio ama mila zile za ki ANGLIKANA ?
Ukishaona misikiti imejengwa kwenye public domain na serikali ya Kikwete ikishangilia ujue nchi imegeuza Islamic state, anagalia kwenye petro station mpaka kiwanda cha National Milling cha pale Tazara cha serikali alichokabidhiwa bakhresa amejenga msikiti ofisi za serikali kama NSSF ,kwenye super market unadhani judo na karate zitaazuiwa kufundisha wana kibali cha IKULU hao ndio maana unaona Mandela road yote ile viwandani misikiti imejaa kwenye viwanda wanakofanya wakristo na waislamu ,nchi imeharibiwa sana na huyu mdini alhaj Kikwete
hakuna udhaifu wa serikali bali tatizo ni baadhi ya watu kutumiwa vibaya na wanasiasa nao kukubali kugeuzwa kama maboya. Kataeni kutumika...mtatupwa tu siku ya mwisho
chuki mnazo nyinyi na si waislamu wote ila wavaa vipedo na wafuga nyasi yaani wana ghilba wale ila mwisho wao upo tuwenye chuki za kidini mnajulikana hapa jukwaani...wewe froida, tenende na jama mmoja ivi...mna poor analysis kama hii yako hapa halafu mnapenda sana kuandika chuki dhidi ya waislam...hamtafanikiwa kwa sababu waislam hawana chuki hizo na wakristo walio wengi wana akili timamu sio kama wewe ulietoroka mirembe ukakatisha na dozi
haha siku ya mwisho lini? ndo mnavyodanganyana mpaka mnajilipua mwisho wa dunia ni siku yako ya kufa hakuna mwisho mwingine waambie na wenziohakuna udhaifu wa serikali bali tatizo ni baadhi ya watu kutumiwa vibaya na wanasiasa nao kukubali kugeuzwa kama maboya. Kataeni kutumika...mtatupwa tu siku ya mwisho
Hawataifuatilia hiyo ishu ungesema cdm wanataka fanya maandamano wangefuatilia kwa juhudi kubwa. Hilo suala la karate kwa wavaa vipedo kila sehemu wanafanya. Ukienda maawal secondary na shule 1 ya seminary ya kiislam mkoani katavi utawakuta wanapiga karate na judo tu.
tunataka kile kikao cha diamond jubillee kilichojadiliwa tujue make baada ya kile kikao wenzetu walipata nguvu sana
Baadhi ya Misikiti ina vyumba vya siri vinavyotumika kufundishia kareti na judo. Mafunzo hutolewa kwa vijana wa kiume angali wakiwa wadogo. watoto hufundishwa ili hali wakijengwa kisaikolojia kuwa ipo siku watakwenda kumpiga khafiri. Mifano mizuri iko Kigoma Ujiji. Misikiti ya ujiji ina maeneo maalum ya kufundishia judo na kareti na mafunzo hayo yanatolewa kwa vijana wa kiislam tu ndani ya vyunba hivyo. Pia baadhi ya misikiti Manispaa ya iringa inayo maeneo hayo. Na milangoni wanaandika, "Si ruhusa kuingia kama si mhusika"
Kutokana na hili vyombo vya usalama fanyeni uchunguzi kwani kumjenga mtoto kisaikolojia ili awe tayari kupanbana na khafiri ni hatari na inaweza kuwa sehemu ya kuandaa watu hatari kwa taifa la baadae.
Siyo vizuri kabisa kuendekeza mambo haya ya udini, iko haja kusimama kidete na kupingana na yeyote mwenye kupenda kuleta mada za aina hii humu JF bila ujali ni wa dini yako au la, mimi ni mkristo lakini mada za udini siziungi mkono hata mar moja.