Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?

Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?

Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au mnaridhishwa na kinacho endelea?

Tafadhali mkamateni na kumdhibiti.
 
Unamaanisha mtekaji anatoka kwetu sisi uraiani ? Bunduki tungetoa wapi ?
 
DAWA YA KUWADHIBITI HAWA NI MAANDAMANO TU YASIYO NA KIKOMO YA KUCHOMA MOTO NCHI KAMA ILIVYOKUWA MO29.

MAANA MO29 TUNGEKAZA KWA MUDA WA SIKU KUMI KAMA ILIVYO KUWA SIKU YA KWANZA LAZIMA HUYU MJINGA TUNGEMFURUSHA MAANA INASEMEKANA WALIKUWA TAYARI WALIPANGA KUMTOROSHA LAKINI WALIPOONA MAANDAMANO YAMEPOA WAKAACHA.
 
yaani mtoa uzi bado hujajua kama hao unaowataka wafanye hiyo kazi ndio wahusika wakuu? pole sana kama bado una imani na hayo mavyombo hewa yanayoripoti lumumba kwa kila jambo na sio weledi wao.
 
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?

Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?

Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au mnaridhishwa na kinacho endelea?

Tafadhali mkamateni na kumdhibiti.
wanatuoana kama tunavojiona sisi
 
Huyu jamaa hajuhi hata samia naye anawatii Hao
Tunatawaliwa kijeshi la usalama wa taifa na kunynyaswa na polisi na jwtz. Hao mpaka wauwane wao kwa wao ndo kutatokea mabadiriko.
 
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?

Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?

Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au mnaridhishwa na kinacho endelea?

Tafadhali mkamateni na kumdhibiti.
Bado tunaendelea kupeleleza kutoweka kwa Polepole,kutekwa na kuuwawa kwa Ally Kibao na kupigwa risasi kwa Lissu huko Dodoma kwenye eneo ambalo lina ulinzi wa kamera(CCTV).
Ndugu watanzania endeleeni kutuamini sisi vyombo vya ulinzi na usalama mwaka wowote tutawatia nguvuni wahalifu wote.
Your's faithfully,
Mkuu wa intelejensia,
DSM ,
Tanzania.
 
DAWA YA KUWADHIBITI HAWA NI MAANDAMANO TU YASIYO NA KIKOMO YA KUCHOMA MOTO NCHI KAMA ILIVYOKUWA MO29.

MAANA MO29 TUNGEKAZA KWA MUDA WA SIKU KUMI KAMA ILIVYO KUWA SIKU YA KWANZA LAZIMA HUYU MJINGA TUNGEMFURUSHA MAANA INASEMEKANA WALIKUWA TAYARI WALIPANGA KUMTOROSHA LAKINI WALIPOONA MAANDAMANO YAMEPOA WAKAACHA.
Ww hiyo Mo 29 ulikuwepo kwenye hayo maandamano au ww uliokuwa ndani umejificha kipindi wenzio wakila shaba?
Kwanza nikuelimishe kitu kimoja kamwe hauwezi kuiangusha serikali inayo ungwa mkono na vyombo vyote vya usalama tofauti na hapo mtakufa mpaka muishe.
 
Nguvu ya umma ikiamua hao vyombo vya dola hamna kitu
 
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda?

Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika?

Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au mnaridhishwa na kinacho endelea?

Tafadhali mkamateni na kumdhibiti.
ni ngumu kujikamata.
 
Nguvu ya umma ikiamua hao vyombo vya dola hamna kitu
Narudia tena hakuna nguvu ya uma yenye uwezo wa kuipindua serikali iwapo vyombo vyote vya usalama vya nchi husika vitakuwa vinaiunga mkono serikali.
Ukiona serikali imeangushwa na kinacho itwa maandamano jua kwamba kumetokea Hali ya kutoelewana kati wa uongozi wa kisiasa na vyombo vya Dora hivyo kukataa oda ya kutumia nguvu kuyadhibiti hayo maandamano.
 
Au nguvu ya nje itumike kama Uganda (Idd Amin), Iraq(Sadam), Libya (Gadafi) na kwengine, mabepari wanaweza sapoti vikundi vya waasi wakasimika mtu wao.
 
Back
Top Bottom