Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kwanza nisaidie jambo moja.. ni nani "Minister responsible for Intelligence and Security"? wa Tanzania...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nisaidie jambo moja.. ni nani "Minister responsible for Intelligence and Security"? wa Tanzania...
I have always thought wako chini ya Ofisi ya Rais, waziri wa ofisi ya rais whatever his name is ndio anaweza kuwa boss au wawe wameiamishia kwenye Usalama wa Raia.
angalia msisitizo wa "intelligence and security"...[/QUOT]
Mwanakijiji wako chini ya Rais na Rais only.
So technically ni idara ya IKULU, lakini Mkurugenzi wao anaanswer tu presida only.
Waziri anayesimamia Intelligence ni nani?
Kazi ya waziri wa utawala bora ni hipi hasa?
Naomba mtu yeyote ambaye anajua katika mgawanyo wa mawaziri uliofanyika ni nani alipewa jukumu la kusimamia Idara ya Ujasusi (TISS)?
Wakati huo huo, napenda kuwakaribisha majasusi kadhaa ambao wameungana nasi hapa Marekani na Ulaya siku chache zilizopita wakiwa katika shughuli zao za kawaida.
Natumaini kuwa ziara yenu ya "utafiti" itaendelea vizuri na mtapewa ushirikiano mzuri toka Balozi zetu UK, Paris na DC na hiyo ya NY.
Mwanzoni ilitajwa kwamba mnakuja kwa sababu ya JF na wanachama wake waandamizi (kitu kilichotufanya wengine tuwe a "little it nerveous" lakini sasa ninafahamu mmekuja kwa shughuli gani na kwanini mnapenda kutembelea JF; Ni matumaini yangu kuwa lililowaleta mtalimiza mapema na ushirikiano wowote toka upande wangu nitawapatia.
Ila mkianza za kuleta msijikute mnarudi mikono mitupu baadaya kutumia fedha zetu kuja kutalii. Hata hivyo ushauri wangu (kama Mjapani aliyeletwa nchini hivi karibuni) ni kuwa stick to what you came here for.. iacheni JF alone we are already fighting enough mafisadi, hatutaki kuhangaika na nyinyi...
Ila mnaweza kusaidia kujibu swali hilo hapo juu, ni nani Waziri wenu?
Na mwisho, sijui kama ni kweli au uongo lakini inadaiwa mlipewa majina fulani fulani ya wanachama wa JF. Sasa msihangaike kuuliza uliza pembeni, nyie wa PM hapa hao watu na mjitambulishe na ombeni kuzungumza nao watawasaidia.. vinginevyo fanye lililowaleta!!

Hay mambo haya kunauhusiano gani na mJapani?
Mimi nimewasubiria siku nyingi sasa waje kuongea nami lakini naona wameishia kuongea na wrong people. Tatizo lao ni kuwa wanasoma too much kwenye kinachoandikwa hapa JF.
Kwanini unafikiria nazungumzia mambo ya Mjapani? Hivi unajua Waziri wa Intelligence ni nani?
Hii ofisi siyo kwamba ipo chini ya monitor wa mawaziri ( EL enzi hizo)?? Kwa maana hiyo braza pinda sasa ndio monitor mwenyewe na TISS iko chini yake.