..jamani..waziri ambaye anashughulikia usalama wa taifa kwa niaba ya rais..ni waziri wa nchi utawala bora...sasa SOPHIA SIMBA..kimsingi hana meno kwa kuwa mara nyingi mkurugenzi wa usalama anaripoti moja kwa moja kwa rais....
wengine wanaowajibika moja kwa moja kwa rais...ni MKUU WA MAJESHI,IGP,ets....mara nyingi mawaziri wa wizara hizi wanaweza kupewa baadhi ya taarifa lakini si zote ...specified information moja kwa moja huenda ikulu kwa rais...ila waziri hubakia na heshima kisiasa tu...
hata ukiangalia security details za mkuu wa majeshi..huwa akiwa dar anatembea akiwa na magari moja au mawili ya wapambe nyuma...,IGP..mara nyingi huwa na gari moja mbele ya traffic na mara nyingine huwa na moja nyuma...,mkuu wa majeshi akiwa anasafiri kwenye barabara huwa na gari kubwa zaidi linalomfuata lenye askari wenye silaha bila makeke,mkuu wa usalama huwa na magari yanayomfuata kila mahali yote huwezi kuyatambua unless ni mjanja na unayaelewa mambo haya..maana yote nimprivate na yako fashionable kiraia,WAKUU WOTE HAWA HUWA WANAFUATA FOLENI NA KUSIMAMA KWENYE MATAA..withregard to IGP amabao vijana wake mara nyingi wakisikia yupo kwenye foleni,mkuu wa magereza yeye huwa na gari na mpambe tu..pamoja na wakuu wote wenye cheo cha brig general up,,na makamishna wa polisi ..ila huwezi kushtukia....sasa hapo ukiangalia mawaziri wao huwa hawana security detail yoyote wazi