Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Stahiki gani mmepewa awamu hii ewe pumbvu?Huyo aliyefanyia kazi info hizo kwa kunyima watumishi stahiki zao kwa miaka 6!?
Unapewa elfu 20 alafu makato na gharama za maisha zinapanda kwa sh 200,000 na unashamgilia?