Usalama wa Taifa saidieni kumpa Rais Samia taarifa sahihi

Huyo aliyefanyia kazi info hizo kwa kunyima watumishi stahiki zao kwa miaka 6!?
Stahiki gani mmepewa awamu hii ewe pumbvu?

Unapewa elfu 20 alafu makato na gharama za maisha zinapanda kwa sh 200,000 na unashamgilia?
 
Alifanyia kazi info za usalama wa taifa, au alitumia usalama wa taifa kunajisi chaguzi za nchi hii, na kuteka wasiomsujudia?
Alimteka nani?

Chaguzi zipi alinajisi?
 
Kiongozi wa watu vs Mapaka👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ifike wakati tuache kuwalaumu usalama wa Taifa...

Itokee tu siku pawepo na discussion ya kusifia hata kwa juhudi wanazofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…