Usaliti haujaanzia kwa ZZK: Jinsi Edwin Mtei alivyosalitiwa na Mrema na NCCR Mageuzi

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha Mtei atoke kwenye nafasi ya uenyekiti). Hizo conditions zikawa ngumu, CHADEMA wakashindwa.

Usaliti: Baada ya Mrema kuingia NCCR, Mtei alikubali kui-support NCCR, hivyo CHADEMA haikuweka mgombea wa urais pamoja na kuonekana kuwa chama cha pili chenye nguvu baada ya CCM.

Yeye Mtei aliamua kugombea ubunge wa Arusha Mjini akiamini kwamba NCCR wangempa support.

Matokeo yake, Mrema akawa anaambatana na Makongoro Nyerere na akamshauri agombee ubunge wa Arusha Mjini.

Baada ya uchaguzi, Edwin Mtei akajikuta ameshindwa na Makongoro Nyerere kwenye kiti cha ubunge wa Arusha Mjini na mbaya zaidi kwasababu CHADEMA haikuweka mgombea wa urais, ikawa ni anguko kubwa la CHADEMA mwaka 1995.

Kumbe huu usaliti wa vyama vidogo haukuanza mwaka jana.

Wenu,
MC
 
CCM huwa wanajipanga sana katika siasa. Mrema alikuwa mtu wao, ilichukua muda watu kuja kugundua. Hiyo story ya Makongoro ukiiangalia kwa jicho la tatu ilikuwa imesukwa ili kuja kumuaibisha Mtei.

Yaani Mtei aliyefanya kazi na Nyerere Sr. wakashindwana akajiuzulu, akaja kushindwa katika uchaguzi na Nyerere Jr. tena katika kajimbo kake na mtu ambaye siyo hata mwenyeji.
 
Naamini hivo pia, Nyerere hakuwa anamkubali Mtei; alikuwa anamchukulia kama bepari fulani hivi.
 
Ukweli lazima usemwe.
Mwaka 1992 -1995 CHADEMA hakikuwa chama kikubwa au maarufu cha upinzani kuliko NCCR-MAGEUZI.
Tamaa na usaliti wa Mrema upo sahihi.
1995 CHADEMA hakikuwa na wanachama na wagombea mikoa karibu 95% wakati NCCR-MAGEUZI walikuwa na wanachama na wagombea mikoa hadi ambayo ni stronghold ya CCM hadi kesho.
Mwaka huo Kaka zangu wawili na shemeji yangu walikuwa wakala wa uchaguzi wa NCCR-MAGEUZI huko mikoani kijijini kabisa.
Mbowe muhuni wa gia angani 2015 ndiye aliipeleka CHADEMA mikoa mbalimbali tena vijijini kuanzia miaka ya 2000 hasa 2005. Give him his credit when he deserves regardless of what he has done recently to harm the movement.
 
Ni kweli,Mbowe kapambana sana kuijenga Chadema hilo lipo wazi

Lusungo JokaKuu Tindo zitto junior
 
Ukweli lazima usemwe.
Mwaka 1992 -1995 CHADEMA hakikuwa chama kikubwa au maarufu cha upinzani kuliko NCCR-MAGEUZI.
Tamaa na usaliti wa Mrema upo sahihi.
1995 CHADEMA hakikuwa na wanachama na wagombea mikoa karibu 95% wakati NCCR-MAGEUZI walikuwa na wanachama na wagombea mikoa hadi ambayo ni stronghold ya CCM hadi kesho.
Mwaka huo Kaka zangu wawili na shemeji yangu walikuwa wakala wa uchaguzi wa NCCR-MAGEUZI huko mikoani kijijini kabisa.
Mbowe muhuni wa gia angani 2015 ndiye aliipeleka CHADEMA mikoa mbalimbali tena vijijini kuanzia miaka ya 2000 hasa 2005. Give him his credit when he deserves regardless of what he has done recently to harm the movement.
NCCR haikuwa na nguvu zaidi ya CHADEMA. Kwanza kilikuwa kinaonekana ni chama cha ''WAJANJA WAJANJA". Kilipata nguvu, baada ya Mrema kujiunga nacho!
 
Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha Mtei atoke kwenye nafasi ya uenyekiti). Hizo conditions zikawa ngumu, CHADEMA wakashindwa.

Usaliti: Baada ya Mrema kuingia NCCR, Mtei alikubali kui-support NCCR, hivyo CHADEMA haikuweka mgombea wa urais pamoja na kuonekana kuwa chama cha pili chenye nguvu baada ya CCM.

Yeye Mtei aliamua kugombea ubunge wa Arusha Mjini akiamini kwamba NCCR wangempa support.

Matokeo yake, Mrema akawa anaambatana na Makongoro Nyerere na akamshauri agombee ubunge wa Arusha Mjini.

Baada ya uchaguzi, Edwin Mtei akajikuta ameshindwa na Makongoro Nyerere kwenye kiti cha ubunge wa Arusha Mjini na mbaya zaidi kwasababu CHADEMA haikuweka mgombea wa urais, ikawa ni anguko kubwa la CHADEMA mwaka 1995.

Kumbe huu usaliti wa vyama vidogo haukuanza mwaka jana.

Wenu,
MC
Mzee Mtei lala baba, pale panapo sta hili, Mkweo alitaka uza chama ,ambacho umekijenga kwa jasho na damu, ila umma ulio upande wa haki ukamtoa kamasi.

Leo Mwenyekiti wa chama chako (a.ka simba wa yuda ) yupo mahabusu kwa kwa kesi ya kishamba , ati kushauri uchaguzi huru na haki ndo uhaini, ila walioagiza kutoa roho za watanzania MO 29 Sio wahaini,

Lala mzee ila ulipo mzee mkatae Mbowe kuwa Mkwe wako , amekusaliti pakubwa sana kama mhasisi wa chadema Taifa. Lala baba
 
Mzee Mtei lala baba, pale pasta hili, Mkweo alitaka uza chama ,ambacho umekijenga kwa jasho na damu, ila umma ulio upande wa haki ukamtoa kamasi.

Leo Mwenyekiti wa chama chako (a.ka simba wa yuda ) upo mahabusu kwa kwa kesi ya kishamba , ati kushauri uchaguzi huru na haki ndo uhaini, ila walioagiza kutoa roho za watanzania MO 29 Sio wahaini,

Lala mzee ila ulipo mzee mkatae Mbowe kuwa Mkwe wako , amekusaliti pakubwa sana kama mhasisi wa chadema Taifa. Lala baba
We jamaa unamchokoza Fundi Mchundo na Lusungo.
 
Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha Mtei atoke kwenye nafasi ya uenyekiti). Hizo conditions zikawa ngumu, CHADEMA wakashindwa.

Usaliti: Baada ya Mrema kuingia NCCR, Mtei alikubali kui-support NCCR, hivyo CHADEMA haikuweka mgombea wa urais pamoja na kuonekana kuwa chama cha pili chenye nguvu baada ya CCM.

Yeye Mtei aliamua kugombea ubunge wa Arusha Mjini akiamini kwamba NCCR wangempa support.

Matokeo yake, Mrema akawa anaambatana na Makongoro Nyerere na akamshauri agombee ubunge wa Arusha Mjini.

Baada ya uchaguzi, Edwin Mtei akajikuta ameshindwa na Makongoro Nyerere kwenye kiti cha ubunge wa Arusha Mjini na mbaya zaidi kwasababu CHADEMA haikuweka mgombea wa urais, ikawa ni anguko kubwa la CHADEMA mwaka 1995.

Kumbe huu usaliti wa vyama vidogo haukuanza mwaka jana.

Wenu,
MC

UCHAGUZI 1995 CHAMA CHA UPINZANI CHENYE NGUVU WAS NCCR MAGEUZI. CHADEMA HAIKUWA NA NGUVU. ULIKUWA MDOGO.
 
Ukweli lazima usemwe.
Mwaka 1992 -1995 CHADEMA hakikuwa chama kikubwa au maarufu cha upinzani kuliko NCCR-MAGEUZI.
Tamaa na usaliti wa Mrema upo sahihi.
1995 CHADEMA hakikuwa na wanachama na wagombea mikoa karibu 95% wakati NCCR-MAGEUZI walikuwa na wanachama na wagombea mikoa hadi ambayo ni stronghold ya CCM hadi kesho.
Mwaka huo Kaka zangu wawili na shemeji yangu walikuwa wakala wa uchaguzi wa NCCR-MAGEUZI huko mikoani kijijini kabisa.
Mbowe muhuni wa gia angani 2015 ndiye aliipeleka CHADEMA mikoa mbalimbali tena vijijini kuanzia miaka ya 2000 hasa 2005. Give him his credit when he deserves regardless of what he has done recently to harm the movement.
sawa mwana ACT-wazalendo
 
Back
Top Bottom