4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Baba mkwe wake na mhasisi wa kweli katika fikra za haki na kimahamuziAmemsaliti nani ?...
ndani ya nchi yake.
Mbowe ajiudhuru kuwa mkwe wa mzee Mtei mara moja, na alipe fidia kwa mke wake ,ambae ni mtoto wa mzee Mtei bil 9 , maana amekua mama sasa , alafu akalipe t200 kwa Mungu kama inawezekanika,
Mzee Mtei pamoja anapesa achilia mbali kufanya kazi Benki kuu ,alisimamia kile anaona kinaweza kuitoa tz ilipo kwenda mbele , tena enzi za Mwalimu , hii sio mchezo .
Mbowe akaja kulainika siku za mwisho
Zingatia hili
Mbowe alienda Magerezani sio aliekua vile baada ya kutoka Magerezani.
Ni bahati mbaya tupo kwenye msiba mzito, ila siku nyingine nikikutana naye , namchapa makofi.