Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hongera sana bora mkono uende kinywaniView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini , Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Awajuiii mabwegeee waupinzaniiMtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Aliahidiwa kununuliwa kwa 50mil akaishia kupewa mil5 !Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Anapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Kumbe unajuwa wakitoka upinzani wanapewa vyeo hata vya utumishi ?!.Awajuiii mabwegeee waupinzanii
Asifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombeaView attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
View attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Asifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombea
Acha akapambane na majambazi kwenye mapori ya Ngara. Nako pia ni kutumikia wananchi, bora aache kodi ya meza.
Anapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliahidiwa kununuliwa kwa 50mil akaishia kupewa mil5 !
Aliahidiwa kununuliwa kwa 50mil akaishia kupewa mil5 !
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Hongera sana bora mkono uende kinywani