Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
KUTOKA KUWA DIWANI MPAKA MTENDAJI WA KATA. . Hawa Madiwani wanaonunuliwa kama Ma ( 640 X 640 ).jpg

Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera

Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu!

==

Mgombea Ubunge Buyungu 2018 Diwani wa Kata ya Gwarama 2015-2019
 
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa
Anapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1371762

Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Asifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombea
 
Wakati kwenye mapori hayo wamepandikiza simba ili kupambana na majangili sasa hapo ajiandae kupambana na wana msimbazi
Anapewa na pikipiki Aina ya YAMAHA kwa ajiri ya kukatiza vijiji na mapori.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Njaa inaweza kumfanya mtu akaishia kwenye njaa kali zaidi au kufa.

Huyu alikua analalamika kipindi fulani kunyanyaswa na serikali ya ccm ila hakujifunza akaona ngoja ajiunge nao sasa ili wampe maudhi ya kihisia.
 
Back
Top Bottom