Kuna mtu alimdanganya hapo, Elia hawezi kupewa 50MKama huna cha kulinganishia, ni kubwa, ila kama unalinganisha na aliyoahidiwa, ni ndogo, yaani only 5% ya alichoahidiwa
Haya yote ni mazao ya upinzani mkuu,usisahau kuna uzi(kama sijakosea) ulisema Chadema wanajua kuandaa viongozi,kaamua kutumikia watu kupitia utendaji.unaacha udiwani uliokuvuta kwenye ubunge ili uwe mtendaji kata !
Kuombea ubunge mshahara wake ni sh ngapJamaa wamemuona 'So Cheap'
Njaa hizi.
Kutoka Udiwani, Mgombea Ubunge mpaka kuwa Mtendaji Wa Kata, Mshahara Tsh 400,000 ?
Hiyo mil 5 bado kubwa sana kwa hadhi yake huyu 500,000 ilikuwa inamtosha kabisa.Aliahidiwa kununuliwa kwa 50mil akaishia kupewa mil5 !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elia Michael Njoo Huku Wanakusengenya
Siasa hauwezi kadanganye misukule ya kubetMkimalizaa.kukojoaa ya wenzenu kunyeni kabisaa
Kachomekwa tu !Njia aliyoitumia kupata nafasi hii ni haraam, sijui kama alifanyishwa usaili kama wamavyofanya wengine..!!?
ni kinyume cha ahadi
View attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu !
Alikuwa Diwani , pia aligombea ubunge na kushinda lakini akanyang'anywa ushindi kwa mtutu wa bundukiAlikua na cheo gani kabla
ACHENII BLAAH BLAAH HUMU KAMTOENI MWENYEKITI WENU NDAN MPATE HATA YA SUKARII
Ibada katika Hilo kanisa inafunguliwa na Kwangaru wa HarmoniesAsifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombea
Anawasajili wamsaidie kubadili katiba atawale mileleNasikia wote washakatwa mikia
In God we Trust