Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

unaacha udiwani uliokuvuta kwenye ubunge ili uwe mtendaji kata !
Haya yote ni mazao ya upinzani mkuu,usisahau kuna uzi(kama sijakosea) ulisema Chadema wanajua kuandaa viongozi,kaamua kutumikia watu kupitia utendaji.

macson
 
ACHENII BLAAH BLAAH HUMU KAMTOENI MWENYEKITI WENU NDAN MPATE HATA YA SUKARII
 
ACHENII BLAAH BLAAH HUMU KAMTOENI MWENYEKITI WENU NDAN MPATE HATA YA SUKARII
- TumeHuruyaUchaguzi  - NoHateNoFear  - Chadema ( 457 X 640 ).jpg
 
Asifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombea
Ibada katika Hilo kanisa inafunguliwa na Kwangaru wa Harmonies
 
Polisi watz wangejifunza toka kwa police wa Malawi wao awako upande wa chama chochote bali wapo kulinda nchi
 
ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL ELIA F MICHAEL
 
Back
Top Bottom