Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Angalau ana uhakika wa utendaji kata. Mbowe hana uhakika na ubunge.
 
Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.

Take it from me.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bali ni Mtendaji wa Kata gani , iliyo wilaya gani ? yanaweza kutokea kama yaliyompata Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , wakati wa uteuzi alitajwa kuchukua Mkoa mwingine lakini baadaye ikabadilishwa na akahamishiwa Dodoma ili kubadilishana na DC wa Dodoma aliyepandishwa na kuwa RC.

Jambo kubwa ulilotuthibitishia hapa ni kwamba hujakanusha kuhusu wewe kuwa mtendaji wa kata .

Bali ukae ukifahamu kwamba laana ya usaliti itaendelea kukukomesha kwa kila hatua , Biblia inaitaja dhambi ya usaliti kukikumba hadi kizazi chako cha 4 , kama huamini muulize Askofu Gamanywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…