mshamba mchangamfu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 338
- 91
atapata tu hz biashara na mikopo imo acha awe ana buy time hapo kwanzaMpeni basi hela zake jamani .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atapata tu hz biashara na mikopo imo acha awe ana buy time hapo kwanzaMpeni basi hela zake jamani .
Kwa nn nduguNinathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndio cheo stahili kwako ili ukidhi njaa yako, s.henzi wewe.Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uendelee kufanya Upimbi wako huku huku TZ ingekuwa huko burundi unafanya usaliti kesho yake ungekutwa kwenye mtaro unaelea.Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umeibuka, sasa unapiga mishe ganiNinathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila waafrika mna roho mbaya.huwa siamini kama mbingu iliandaliwa kwa watu weusiHicho ndio cheo stahili kwako ili ukidhi njaa yako, s.henzi wewe.
Angalau ana uhakika wa utendaji kata. Mbowe hana uhakika na ubunge.View attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu !
Ukizeeka utakuwa mganga wa kienyejiNinathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtendaji wa kata analipwa laki 7? Ni Tsh au za zimbabwe?Kwani mshahara wa diwani sh ngapi?
Mshahara wa Mtendaji kata ni 700,000/-
Katibu tarafa je ni shiling ngap?Kwani mshahara wa diwani sh ngapi?
Mshahara wa Mtendaji kata ni 700,000/-
Bali ni Mtendaji wa Kata gani , iliyo wilaya gani ? yanaweza kutokea kama yaliyompata Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , wakati wa uteuzi alitajwa kuchukua Mkoa mwingine lakini baadaye ikabadilishwa na akahamishiwa Dodoma ili kubadilishana na DC wa Dodoma aliyepandishwa na kuwa RC.Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa.
Take it from me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wabongo mnawaza kula tu ? hamuwazi uaminifu na heshima yenu kwa jamii ?Kwani mshahara wa diwani sh ngapi?
Mshahara wa Mtendaji kata ni 700,000/-