Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Si huyu tu bali wote walionunuliwa watakuwa na wakati mgumu mno ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa chama na uteuzi wa wagombea kuelekea mwaka 2025.
 
Mbona Elia anataka kuacha kazi ya utendaji na kuachana na CCM Tanzania, ameshasema huko kwenye page yake ya facebook
 
Hawa Walikuwa Mbumbumbu
Ccm Ikajichotea Yaani Kwa Vocal

Haa
Malipo Ni Hapa Hapa Duniani
 
Hatari sana !
Kaka hela ni mbaya sana, unapopata hela bila haki haikufikishi mbali. Mifano ni mingi angalia hela za urithi endapo wanafamilia watakiuka, hela za machagondoa wanazopewa na wateja, hela wanazopata vibaka, hela za udalali wa dhurma nk

Hata Covid-19 ndani ya nafsi zao wanaumia mno, ila hawana namna.

My unakubali kuiza heshima nako uliyoijenda kwq gharama kubwa miaka zaidi ya 20 ati kwa 50m ??
 
Hiyo haikuwa rushwa?Dhambi ya usaliti haijawahi kumwacha yeyote salama,anawezaje kumdai mwenyekiti wa chama rushwa?Polepole alikopa 0 kwenye milioni 50.
Je,deni la milioni 45 lipo kimaandishi?Imekula kwako Mh.diwani!
 
Hiyo haikuwa rushwa?Dhambi ya usaliti haijawahi kumwacha yeyote salama,anawezaje kumdai mwenyekiti wa chama rushwa?Polepole alikopa 0 kwenye milioni 50.
Je,deni la milioni 45 lipo kimaandishi?Imekula kwako Mh.diwani!
Noma sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…