Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weeee !!Ulikuwepo,tatzo nini,maana kakuzidi wewe vuvuzela wa jf,mwenzio mkono wa Wenda kinywani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana !Wote walionunuliwa watakuwa na wakati mgumu mno meaning ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa chama na uteuzi mwaka 2025.
Kaka hela ni mbaya sana, unapopata hela bila haki haikufikishi mbali. Mifano ni mingi angalia hela za urithi endapo wanafamilia watakiuka, hela za machagondoa wanazopewa na wateja, hela wanazopata vibaka, hela za udalali wa dhurma nkHatari sana !
kufanyaje ?Mwambie arudi chadema
Hiyo haikuwa rushwa?Dhambi ya usaliti haijawahi kumwacha yeyote salama,anawezaje kumdai mwenyekiti wa chama rushwa?Polepole alikopa 0 kwenye milioni 50.View attachment 1371762
Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu!
==
Mgombea Ubunge Buyungu 2018 Diwani wa Kata ya Gwarama 2015-2019
Noma sana !Hiyo haikuwa rushwa?Dhambi ya usaliti haijawahi kumwacha yeyote salama,anawezaje kumdai mwenyekiti wa chama rushwa?Polepole alikopa 0 kwenye milioni 50.
Je,deni la milioni 45 lipo kimaandishi?Imekula kwako Mh.diwani!