Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

View attachment 1371762

Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera

Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu !
Dah Yaani hata katibu kata mnapublicize utadhani ni mbunge au waziri duh...
 
Wazee wana njaa ila njaa ya vijana ni ya utosi...kali

5m imemponza kijana ambaye hakujua strength yake...yaani unaruhusu njaa kuua strength yako...very sad.

Atakimbilia NCCR akidhani huko atakuwa salama...

Dhambi ya usaliti huwa inatambaa...inakutangulia uendako...ukibisha hodi unaikuta ishatia timu..
 
Sasa watoto wa watu wapo kule LGTI hombolo wanapambana na local government administration huku wajinga wanapewa nafasi bila usaili na jinsi kila chuo kinawaza pumba kikajenga na magu squar
 
View attachment 1371762

Malipo yake yote yamekuwa kuteuliwa kuwa Mtendaji wa Kata ya Ngara Mjini, Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera

Taarifa zilizofichwa zinaeleza kwamba kabla hajanunuliwa aliahidiwa kupewa mil 50 , lakini kwa bahati mbaya mpaka muda huu amelipwa mil 5 tu !
Jamaa alijijengea heshima kubwa sana kisha akaibomoa ndani ya sekunde moja
 
Huyu mtoto amejiharibia future yeke kwenye siasa
 
Amejim
Hata hivyo akili yako haiko vizuri na Mungu atakuangamiza siku moja! Huwezi kuwasaliti watu waliokupigania kwa ajili ya njaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm walinunua umaarufu wake ili wamshushe chini asiwasumbue na sio yeye labda aingie kwenye kwaya ya kuabudu ili aonekane apate japo UDC
 
Mtendaji wa kata ni nafasi atakayoifanya mpaka atakapoamua yeye mwenyewe.
Ni nafasi ya kiutumishi, kuliko yale mambo ya siasa

Kwani mtendaji wa kata ni nafasi ya kuteuliwa? Hii si nafasi ya utumishi wa umma ambayo mtu hupata kwa nafasi kutangazwa na kusailiwa?
 
Asifu na kusujudu ili aonekane atapata ubunge safari hii majina ya wagombea yatatoka chato hakuna cha sijui halimashauri kuu,wagombea ubunge wote anzisheni na kanisa kabisa maana asiye na chapa atoruhusiwa kugombea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM Inawenyewe, huko nako Kuna watu
Nyie Mnataka mkitoka upinzani mpewe nafasi kiubwete

Ova
 
Back
Top Bottom