MaserafiNaMakerubi
Member
- Nov 18, 2024
- 9
- 18
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa.
Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu.
Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya kwanza katikati niliweza kufahamiana na mrembo mmoja nimuite Rozina.
Rozina tulifahamiana kupitia group discussions, alikuwa ni member mmoja wapo kati ya members kwenye group langu. Kilichofanya Rozina awe close namimi ukiachana na kuwa group moja katika discussion, mimi ni mtu wa muziki na nilikuwa na gitaa langu chuoni yeye alikuwa anapenda kuimba kama ilivo kwangu kwahyo tulimatch namna hiyo.
Urafiki ulipamba moto siku hadi siku mwisho wa siku tukaingia rasmi kwenye mapenzi means tukawa wapenzi.
Couple yetu ilikuwa moja kati ya couples pendwa mno mno zaidi ya mno. Tulitabiriwa kufika mbali katika maisha tukiwa pamoja kama mume na mke na sisi binafsi hiyo kitu tulikuwa nayo kichwani.
Additionally, mimi na Rozina tulikuwa vipanga darasani kiasi kwamba tulikuwa hatuwazi kuhusu sap japo kikawaida mtu ni lazima uwe na uoga wa mitihani na matokeo.
Tuliishi maisha safi sana, tulisoma pamoja, tulikula pamoja ila kulala mimi nilipanga nje yeye alikuwa hostel so alikuwa anaibuka magetoni kunitembelea tunapika na kusoma hasa weekends alikuwa anashinda na kulala kwangu.
Mwaka wa kwanza uliisha safi kabisa bila shida yoyote, mwaka wa pili mwanzoni shida ndo ilipoanzia.
Rozina alikuwa na dadaake jijini ambamo chuo tulichosomea kinapatikana. So alikuwa siku moja moja ananiambia anaenda kumsalimia dadaake na siku moja moja akawa ananiomba nimsindikize mpka Kwa sisteri ake na mwisho wa siku nikajulikana kwa sister ake kama shemeji sasa.
Tupate break kidogo nitarudi hivi punde.....