Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Mimi najaribu kuwaeleza hapa......Hatari sana... Wacha tuendelee kujifunza mkuu, maana Dunia inamengi tusiyo yajua au tunayoyaskia skia tu ila hatujawahi kupata watu wanao yajua kiundani wakapata kutufunulia ili tujue namna sahihi ya kukabiliana nayo.
🤣🤣Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama hii ni chai tuwe watulivu
Kwenye upandikizaji ungeshea sema umetukatili 😝Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO
Siku iliyofata mimi, babe wangu na donor wetu, habari za kutafuta donor nilizileta humu, nilirushiwa mishale sana ila sikujali wala nini, baadae nikapata mtu muelewa, tukaenda hospital na kupata vipimo vyote, kuna ka mzunguko sio mchezo, hiyo siku tuliambiwa wote tuko fresh na tulifanya zoezi la upandikizaji, (sitaiongelea hii ng'o)
Tulisubiri hadi wiki nne nikapima ikawa imoo 🥳, kuna wengine hupima in two weeks ni wewe tu na uharaka wako,
Back to Lily, familia ilifata ushauri wakampeleka sober house mkoa flan bangi na pombe zilimuathiri waswahili tunasema vilimkataa, alikaa kwa miezi mingi, nakumbuka siku hiyo nipo job naendelea na majukumu yangu ikaingia namba ngeni kupokea ni yeye aisee nilihisi kuzimia, nikakata simu, akapiga tena sikupokea akaandika meseji ndeeeeefu ya kuomba msamaha na kudai amebadilika amekua mtu mwema, blah blah, sikumuamini tena nikablock ile namba nikatulia, akaendelea kupiga na kutuma meseji akisisitiza anahitaji msamaha wangu ili aishi kwa amani,
Nilivyorudi home nikamuonesha babe akasema mjibu kua umemsamehe ili abaki na amani zake asikusumbue, nikawaza sana nikaona fresh tu, nikamjibu kua nimemsamehe abaki na amani ila asinitafute tena na namba yangu aifute hadi akilini akajibu kwa kushukuru hakunitafuta tena,
Turudi nyuma nilivyopata ujauzito babe akasema sasa inatosha kazi za mbali, tumejitafuta tumejipata anahitaji kua karibu na familia yake, akamalizia mkataba wake hakuongeza tena akarudi nyumbani, alikuwepo siku tunampokea mtoto wenu duniani awww🥰
Lily alikuja kusikia nina mtoto akanitafuta bila kupokea simu zake siku hiyo akajitoa ufahamu na kuja tulipokua tunaishi akaambiwa tulishahama kitambo, akatuma meseji eti ana zawadi za mtoto atajisikia vizuri kama akimuona na kumpatia, wala sikumjibu, tangu hapo mpaka jana Lily hajawahi kuacha kunipigia simu nakutuma meseji anajua japo nimemblock lakini naziona huenda siku moja nitakuja kumjibu, uzuri kwenye makazi yetu ya sasa hapajui angekua kishafika,
Najua wengine mtasema why nisibadilishe namba ya simu, hii namba ni ya miaka mingi na ipo kwenye vitu vingi kuipoteza ni kuanza moja,
Siwezi kuusahau ule mwaka 2020, mwaka ambao nilikutana na psycho, laiti kama siku zingerudi nyuma kwa hakika ningerudi na kurekebisha hilo kosa, namshukuru Mungu kwa kunipa mtu muelewa kwenye maisha yangu, angeniacha pengine na mimi ningekua kama Lily🥺 (Lord forbid),
Funzo kwa wote mtulie kwenye mahusiano yenu, kuonja onja ndio hayo mnaonja na vyenye sumu,
Nawashukuru kwa muda wenu
MWISHO.
Kama usaliti una gharama kiasi hiki basi nimeacha usaliti 😜🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO

Hapana kwa kweli, mtu akitaka aende akayasikie huko huko hospitalKwenye upandikizaji ungeshea sema umetukatili 😝
Kaa nao mbali kwa kweli, usaliti sio deal 😆Kama usaliti una gharama kiasi hiki basi nimeacha usaliti 😜🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Aseeh wacha tuoneHapana kwa kweli, mtu akitaka aende akayasikie huko huko hospital
Sasa huyo babe wako anabond vipi na mtoto ambaye hana vinasaba naye??Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO
Siku iliyofata mimi, babe wangu na donor wetu, habari za kutafuta donor nilizileta humu, nilirushiwa mishale sana ila sikujali wala nini, baadae nikapata mtu muelewa, tukaenda hospital na kupata vipimo vyote, kuna ka mzunguko sio mchezo, hiyo siku tuliambiwa wote tuko fresh na tulifanya zoezi la upandikizaji, (sitaiongelea hii ng'o)
Tulisubiri hadi wiki nne nikapima ikawa imoo [emoji3060], kuna wengine hupima in two weeks ni wewe tu na uharaka wako,
Back to Lily, familia ilifata ushauri wakampeleka sober house mkoa flan bangi na pombe zilimuathiri waswahili tunasema vilimkataa, alikaa kwa miezi mingi, nakumbuka siku hiyo nipo job naendelea na majukumu yangu ikaingia namba ngeni kupokea ni yeye aisee nilihisi kuzimia, nikakata simu, akapiga tena sikupokea akaandika meseji ndeeeeefu ya kuomba msamaha na kudai amebadilika amekua mtu mwema, blah blah, sikumuamini tena nikablock ile namba nikatulia, akaendelea kupiga na kutuma meseji akisisitiza anahitaji msamaha wangu ili aishi kwa amani,
Nilivyorudi home nikamuonesha babe akasema mjibu kua umemsamehe ili abaki na amani zake asikusumbue, nikawaza sana nikaona fresh tu, nikamjibu kua nimemsamehe abaki na amani ila asinitafute tena na namba yangu aifute hadi akilini akajibu kwa kushukuru hakunitafuta tena,
Turudi nyuma nilivyopata ujauzito babe akasema sasa inatosha kazi za mbali, tumejitafuta tumejipata anahitaji kua karibu na familia yake, akamalizia mkataba wake hakuongeza tena akarudi nyumbani, alikuwepo siku tunampokea mtoto wenu duniani awww[emoji3059]
Lily alikuja kusikia nina mtoto akanitafuta bila kupokea simu zake siku hiyo akajitoa ufahamu na kuja tulipokua tunaishi akaambiwa tulishahama kitambo, akatuma meseji eti ana zawadi za mtoto atajisikia vizuri kama akimuona na kumpatia, wala sikumjibu, tangu hapo mpaka jana Lily hajawahi kuacha kunipigia simu nakutuma meseji anajua japo nimemblock lakini naziona huenda siku moja nitakuja kumjibu, uzuri kwenye makazi yetu ya sasa hapajui angekua kishafika,
Najua wengine mtasema why nisibadilishe namba ya simu, hii namba ni ya miaka mingi na ipo kwenye vitu vingi kuipoteza ni kuanza moja,
Siwezi kuusahau ule mwaka 2020, mwaka ambao nilikutana na psycho, laiti kama siku zingerudi nyuma kwa hakika ningerudi na kurekebisha hilo kosa, namshukuru Mungu kwa kunipa mtu muelewa kwenye maisha yangu, angeniacha pengine na mimi ningekua kama Lily[emoji3064] (Lord forbid),
Funzo kwa wote mtulie kwenye mahusiano yenu, kuonja onja ndio hayo mnaonja na vyenye sumu,
Nawashukuru kwa muda wenu
MWISHO.
Ukimpata kama huyo wako sijui nitafanyaje kwa Sponsor 😜😅😅😅Kaa nao mbali kwa kweli, usaliti sio deal 😆
Ni binti mkuu i mean keSasa Unasema kuwa una mpenzi na hajawahi kukusaliti ila kwenye mimba nashangaa sana eti umeibeba wewe, wewe ni wa kike au wa kiume.
Hii imekaaje wakuu mbona sielewi? Mnisaidie hapo
Dr. Mariposa
Sasa kule polisi alisema mlikuwa wapenzi?Inaendelea No 7,
Kipenzi changu akaniuliza kwa upole kabisa, "babe, naomba ufafanuzi juu ya zile voice please" nilikua naangalia chini sikuweza kumuangalia usoni, nikawa nawaza naanzia juu au katikati?
Naomba niwape dondoo chache kuhusu mpenzi wangu, kwanza ni mpole sanaaa, mstaarabu, ana heshima kwa kila mtu, ni mtu fulani anapenda amani muda wote, hua anakasirika sometimes ila hua haweki hasira kwa muda mrefu, mimi ikitokea nimemuudhi hua haongei sana adhabu yangu naikuta kitandani 🙈,
Niseme ukweli wakati tunaanzana mwaka 2015 mimi nilikua bado barobaro yaani ujana mwingi kila sketi nataka niifunue nione yaliyomo yamoooo!? halafu sikai sana yaani tukidate mwezi mmoja wewe umekaa sana,🤫
Wakati nakutana nae yeye hakua na mambo mengi yaan exs zake walikua wawili tu, kiukweli alipambana sana kunituliza, amenizidi miaka mitano siku zote alikua ananiona mtoto ipo siku nitakua na nitaacha (na kweli nimeacha na tunalea mtoto) anavuna matunda ya uvumilivu,
Kipindi chote nipo na yeye sijawahi kuona wala kuhisi kua ananisaliti, katika vitu ambavyo ninamkubali hicho ni kimoja wapo, pia mwenzangu huyu ni mtu yupo focused sana na maisha, mpambanaji asiyekubali kushindwa kwa umri wake wa miaka 35 amefanikisha vingi ambavyo kijana yoyote angetamani kua navyo,
That's my baby sichoki kumuelezea, niko nae proud sana😘🥰
Haya turudi kwenye kikao chetu sasa, nikamfungukia japo sio story nzima nilimwambia tu nilikutana nae kwenye event ya Znz akaniomba tushee room nikamkubalia usiku ndio vile ila kulivyokucha kila mtu aliendelea na mambo yake ajabu kaniganda hadi leo wakati ilikua a one night stand, akaniuliza kwenye voice ulisema "sometimes i miss US" ulimaanisha mlichofanya kiliwakolea, hapo nikaruka nikamwambia "no babe kwanza hata sikumbuki, nilimwambia vile tu kumfanya ajisikie vizuri na sio kingine" nikaongeza "shauri lake lipo polisi alishaitwa akaonywa na sasa nataka nimpeleke tena" akashtuka kusikia habari za polisi akaniuliza ilikuaje nikaeleza matusi na vitisho alivyokua anatuma, alivyokua anaweka nguo za damu getini, alivyomtrick cuzo kupata namba yako, aisee alikasirika sana akasema sasa mimi nitadeal nae tulia, yeye atachagua aende jela au milembe hospital, akanambia nijiandae twende polisi uzuri alishawahi kukiri kwa maandishi kukaa mbali na mimi na sasa anarudia na meseji zipo, safari ya polisi ikawadia, tulisikilizwa wakasema huyu safari hii tukimuita haji, huyu ni kwenda kumkamata tu, ishu ikawa atakua wapi basi nikaambiwa nimpigie nijifanye kama nataka tuonane haraka nina shida, nilipiga sana bila kupokelewa akatuma meseji yupo darasani, nikamjibu akitoka anicheki nimechanganyikiwa nahitaji msaada wake, nahisi pindi lilikua halipandi kwani baada ya dakika 15 akanicall na kuniuliza nini mbaya, nikamwambia mambo ya kazini kuna mahesabu hayaendi sawa nikajifanya kama nalia, akaniuliza nilipo nikamuelekeza akasema anakuja chap, tukapewa askari mmoja na mgambo tukaenda hadi sehemu husika kumsubiri kweli akaja alionekana yupo so worried hapo hapo wakamkamata, nakumbuka alivyokua anapiga kelele za niacheni niacheni, alivyokua anaita jina langu na kuniuliza kwanini namfanyia vile, nilijisikia vibaya sana, nilimuomba atulie hao ni askari anaenda kituoni tu, aliendelea kupiga kelele huku akisema ananichukia, ataniua, sikuweza kupanda gari lile mimi nilichukua bajaji nakuwafata kituoni, nilikuta ameshawekwa selo lakini alikua anaongea na kupiga kelele, alikua anamtukana babe wangu, nakumbuka askari mmoja wa kike alienda akamzaba makofi na kumuamuru anyamaze ni kama alichochea moto ndio alizidi kupiga kelele, aliruka ruka alisema akitoka hapo wote atawaua na yeye atajiua, polisi walitaka familia yake ijue kua yupo pale, akaombwa namba ya mtu wake wa karibu akawa hataki kutoa anaongea vitu havieleweki, nikakumbuka kuna namba iliwahi kunicheki whatsapp huyo mtu alijitambulisha kama rafiki yake, nikaikuta na kuipiga, uzuri iliita na akapokea nikajitambulisha kwake na kumwambia Lily amekamatwa awasiliane na familia yake kituo flani waje wamtoe hayupo sawa, baada ya muda simu zikaanza kuita kwangu, alikua ni dada ake akanihoji hoji nikamwambia sina maelezo zaidi njoeni mumtoe humo na mumpeleke hospital kitengo cha magonjwa ya akili, akasema wanakuja.....
Itaendelea
Leejay49 , Lamomy , Joannah ,
ephen_ , Dejane , Demi , realMamy
Na wengine wooooooooooote
Kwa hiyo wewe ni mwanamke hadi ukawekewa mimba?Kaa nao mbali kwa kweli, usaliti sio deal 😆
Hii sehemu ya mwisho ndo imenipa uhakika wa kuelewa kuwa watu wanasagana..!!Inaendelea, SEHEMU YA MWISHO
Siku iliyofata mimi, babe wangu na donor wetu, habari za kutafuta donor nilizileta humu, nilirushiwa mishale sana ila sikujali wala nini, baadae nikapata mtu muelewa, tukaenda hospital na kupata vipimo vyote, kuna ka mzunguko sio mchezo, hiyo siku tuliambiwa wote tuko fresh na tulifanya zoezi la upandikizaji, (sitaiongelea hii ng'o)
Tulisubiri hadi wiki nne nikapima ikawa imoo 🥳, kuna wengine hupima in two weeks ni wewe tu na uharaka wako,
Back to Lily, familia ilifata ushauri wakampeleka sober house mkoa flan bangi na pombe zilimuathiri waswahili tunasema vilimkataa, alikaa kwa miezi mingi, nakumbuka siku hiyo nipo job naendelea na majukumu yangu ikaingia namba ngeni kupokea ni yeye aisee nilihisi kuzimia, nikakata simu, akapiga tena sikupokea akaandika meseji ndeeeeefu ya kuomba msamaha na kudai amebadilika amekua mtu mwema, blah blah, sikumuamini tena nikablock ile namba nikatulia, akaendelea kupiga na kutuma meseji akisisitiza anahitaji msamaha wangu ili aishi kwa amani,
Nilivyorudi home nikamuonesha babe akasema mjibu kua umemsamehe ili abaki na amani zake asikusumbue, nikawaza sana nikaona fresh tu, nikamjibu kua nimemsamehe abaki na amani ila asinitafute tena na namba yangu aifute hadi akilini akajibu kwa kushukuru hakunitafuta tena,
Turudi nyuma nilivyopata ujauzito babe akasema sasa inatosha kazi za mbali, tumejitafuta tumejipata anahitaji kua karibu na familia yake, akamalizia mkataba wake hakuongeza tena akarudi nyumbani, alikuwepo siku tunampokea mtoto wenu duniani awww🥰
Lily alikuja kusikia nina mtoto akanitafuta bila kupokea simu zake siku hiyo akajitoa ufahamu na kuja tulipokua tunaishi akaambiwa tulishahama kitambo, akatuma meseji eti ana zawadi za mtoto atajisikia vizuri kama akimuona na kumpatia, wala sikumjibu, tangu hapo mpaka jana Lily hajawahi kuacha kunipigia simu nakutuma meseji anajua japo nimemblock lakini naziona huenda siku moja nitakuja kumjibu, uzuri kwenye makazi yetu ya sasa hapajui angekua kishafika,
Najua wengine mtasema why nisibadilishe namba ya simu, hii namba ni ya miaka mingi na ipo kwenye vitu vingi kuipoteza ni kuanza moja,
Siwezi kuusahau ule mwaka 2020, mwaka ambao nilikutana na psycho, laiti kama siku zingerudi nyuma kwa hakika ningerudi na kurekebisha hilo kosa, namshukuru Mungu kwa kunipa mtu muelewa kwenye maisha yangu, angeniacha pengine na mimi ningekua kama Lily🥺 (Lord forbid),
Funzo kwa wote mtulie kwenye mahusiano yenu, kuonja onja ndio hayo mnaonja na vyenye sumu,
Nawashukuru kwa muda wenu
MWISHO.
Duh ndo hadi anasema kuwa anamshukuru mungu kwa kumpa mtu sahihi kwenye maisha yake, ko hapo wanaweza kuoana hadi kifo ndo kiwatenganishe?Ni binti mkuu i mean ke
🤣🤣🤣asubuhi ulifutwa unajua?Goma linaendelea kutambaa, hiyo episode ya 7 na 8 ya moto 😍😍😍
Yani kila saa nachungulia km nimeinjika kuku 😹😹😹 dr puliizzz endelea kabla wachawi hawajamaliza kikao cha kuanza kuripoti uzi ufutwe..!!
Wanga wengi humu hawataki tujifunze wanakimbilia kuripoti mfyuuu zao 😹😹🤣🤣🤣asubuhi ulifutwa unajua?
Polisi wanakutana na mengi sana, hilo dogo mbonaSasa kule polisi alisema mlikuwa wapenzi?