Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

Sina muda wa kutype mkuu, just listen but don't judge, kazi ya kuamua achia Mwenyezi Mungu.!! We're not perfect, doesn't matter umezaa/umezaliwa na msagaji au shoga.

Kaa kwa kutulia hii Dunia ina mengi
Kauli za mkosaji, ๐Ÿคฃ
 
Kwa kipindi cha miaka michache dunia imebadilika sana,
Wanawake wanawataka wanawake wenzao,na wanaume wanawataka wanaume wenzao,
Ndo Hali halisi japo hatuukubali uhalisia Ila dunia ipo kwenye nguvu kubwa ya ushoga huku wengine wakiwa chini ya miamvuli ili kulinda status zao lakn hamna kitu
 
Nice story, ila you still have feelings for Lily, also just thinking, hivi mpk kufikia hapo it means familia zote kuanzia yenu na Lily wanajua it's a queer thing!
Mnaishije? Wanawachukuliaje na how do you cope with it? Maana mnakinzana na maadili na culture mnazoishi.
 
Mimi siwezi kukuchukia mzee..... Nimepitia manyanyaso maneno, na kuonekana mtu wa ajabu

Lakini nilisha samehe hayo mimi kwa sasa siwezi tafuta kuonewa huruma kwa mtu yeyote hapana!

Kuwa na amani mkuu......

Naunga mkono hoja zako.....
Nashukuru.
JF
 
Kwa hii comment nimekuvua vyeo vyote,๐Ÿšฎ
Hivi kwanini waswahili bado mna mawazo kua mtoto ni hadi awe damu yako, mfano wewe umrescue mtoto mchanga wa kike kwa namna yoyote ukamlea hadi akakua obviously atakuita baba je baadae utamuoa kisa tu sio damu yako?

Jitafakari
 
Nope sina feelings zozote kwa Lily, i feel sorry for her, nachukulia kama ni failure yangu, nilitakiwa nimponye lakini ameharibika kwenye mikono yangu mbaya zaidi ananilaumu mie,

Nitasema kuhusu family yangu na babe wangu wao hawana shida wamekubali kua ni marafiki wawili wanaoishi pamoja yaani hakuna mtu anayetufatilia kiukweli,
Upande wa family ya Lily siwezi kujua sababu naamini kama kujua walijua kipindi kile cha polisi au kama kuna story nyengine behind hapo sijui.
 
Sijaolewa, sijaachika, Sina boyfriend ila mume ninaye upo nyonyo?!! ๐Ÿ˜น
Nirudie? Yani ndoa sina ila mume ninaye na natamba naye we huogopi?? ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mada za kifalah huku unasoma na kudindisha baba muongo wewe ๐Ÿคญ๐Ÿ˜น

Nwei uko wapi sasa tuijenge hiyo future mahi isibomoke ๐Ÿ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ