Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
- Thread starter
-
- #761
Shukrani dear, ushauri wa kupima akili ni mzuri kwa hakika tunaingia kwenye matatizo kwa kudate na vichaaSubhanallah! Mkasa wako unatetemesha, mie nawashauri tu sio michepuko hata watu mnaoingia nao kwenye mahusiano ni kumuomba sana Mungu au hata vipimo vya akili mfanye ikibidi, kuna movie yaitwa ACRIMONY itizame pia,
Pole dear.
Alimkoboa vizuri basi kaweka muhuri wa moto kwa lilyIna maana anakutafuta hadi leo 2025?
Mfukua kaburiDuhhhh
Wewe tunajuaaaa,
Huwa nalitafuta kwanza hili neno kabla sijasoma hadithi za humu JF. Nikilikuta sisomi hiyo hadithi.Itaendelea
Lily ana balaa 😹😹
Ila wakina Lily wengi wasagaji sijui kwann??
Kuna Lily mmoja room mate wangu alikuwa na tabia za hovyo nilikuwa nikitoka kuoga anatulia anipige wezere likiwa kwenye khanga ilioshikana na maji basi anafurahi mwenyewe 🤣
Na mimi nilivyo na masihara namtingishia namwambia ongeza kibao kingine 🤣
Basi anajisonya huku anasikitika