Usaliti unaofanywa kwa watu wa karibu

ndoa ndoano!msemelee kwa watu wa karibu,ukizubaa atakula mpk mama yako!h
 
Mambo ya kawaida kabisa hayo. Akae na mumewe wayaonhgee na wayamalize

Nyie ndio mnazaliwa na laana toka matumboni mwa mama zenu... na ndio maana tabia zenu kwenye ngono n sawa na wanyama!

hivi ni kawaida watu wa karibu hivi kubonyezana?
Siyo kawaida aisee! Ni wanyama tu ndio hufanya hivi

Hivi vitabia vimeanza kukua kwa kasi sana, sijui kwa nini. Mungu na atulinde na kutuepusha na hizi tabia za kishetani.

hii ni laana ya kuzaliwa nayo.

ndoa ndoano!msemelee kwa watu wa karibu,ukizubaa atakula mpk mama yako!h
Anaelekea huko aisee.Cha kufanya ni kuafanya ibada maalum ya kuvuja laana. Its spiritual....wanahitaji msaada wa ziada na siyo kushtaki kwa ndugu wa karibu
 
Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2
 
Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2
MHH NA WEWE!
Ina maana hiyo ndo adhabu mwafaka?
oooovyoooo!
 
Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2

nyie ndio mkiona hamridhishwi na wake zenu na mienendo yao,mnatafuta kugonga nje badala ya kutafuta suluhu...mkidhani mnawakomoa hao wake zenu,baadae familia nzima inaangamia kwa ujinga wenu.....
 
Japo si tabia nzuri suluhu ni kwamba wamalizane ki utu uzima tu.
 
naye ajilipe iwe ngoma droo, ila akisema kumuacha?! Ataenda kutana na wanaomuomba tigo

aisee kumbe una akili wewe. maana kuondoka haimaanishi anaenda kuolewa na mtu ambaye hana 'kitendea kazi', itakuwa ni kama unahamisha matatizo kuotka mkono wa kulia kwenda wa kushoto.
 
isije ikawa ndo unausemea moyo wako mwenyewe indirectly madam!
 
mmmh huyo si mume!
hata mwanae wa kumzaa atamlamba tu!
 
KWANI UKISIKIA NDOA NGUMU MAANA YAKE NINI..? ni pamoja na hayo. avumilie tu wala asitake kuvunja ndoa, huyo jamaa yake ni beberu ( asumani samaki hapishi chambo, mambo valuvalu) atafute watu wenye busara na ambao wana kauli juu ya huyo mume wake awaeleze na wao wamuweke kitako jamaa, atapunguza ila si kuacha bado damu inamchemka, na huenda ikasaidia akawa na staha juu ya ndugu wa karibu. bila kusahau maradhi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…