Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kawaida kabisa hayo. Akae na mumewe wayaonhgee na wayamalize
Siyo kawaida aisee! Ni wanyama tu ndio hufanya hivihivi ni kawaida watu wa karibu hivi kubonyezana?
Hivi vitabia vimeanza kukua kwa kasi sana, sijui kwa nini. Mungu na atulinde na kutuepusha na hizi tabia za kishetani.
Anaelekea huko aisee.Cha kufanya ni kuafanya ibada maalum ya kuvuja laana. Its spiritual....wanahitaji msaada wa ziada na siyo kushtaki kwa ndugu wa karibundoa ndoano!msemelee kwa watu wa karibu,ukizubaa atakula mpk mama yako!h
Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2Habari za sunday wana mmu?
Ni hivi leo shemeji yangu yaani mke wa jamaangu kaja akilalamika kuwa mme wake katembea na mtoto wa kaka yake aliyekuja kuwatembelea baada ya kuhitimu kidato cha nne(huyo binti ni mtoto wa kakaake tumbo moja),
pamoja na hilo anadai kuwa aliwahi kutembea na binti mwingine anayemwita mama mdogo siku za nyuma japo alikuja gundua baadaye,
pia kuhusu mabeki tatu anadai kuwa yeye huwa anaweka vitoto vidogo ndio maana labda hajihusishi navyo,kiufupi huyo dada ni mzuri, mweupe mrefu mwembamba na analipa vzr na wote ni waajiriwa,
pia huyo jamaa yey ni kijana aliyeingia ktk ndoa akiwa na miaka 21,na ni kijana mwenye mvuto,mtaratibu ,anayejiendeleza kielimu na ni mpenda maendeleo,
sasa huyo dada anaomba ushauri kuhusu kuwaeleza ndugu zake juu ya tabia ya mme wake halafu ndio aachane na mme wake japo nnavyomuona hawezi kumuacha kwani anaonesha kumpenda na kumhitaji sana kwani wana mtoto mmoja mwenye miaka 5,
naomba mnisaidie namna ya kumshauri huyu dada leo jioni juu ya hilo tatizo lake pia hili jambo naona kwenye jamii zetu naona kama lipo sana.nawakaribisha.
Ahsanteni
MHH NA WEWE!Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2
Dada ajiangalie ana mapungufu gani ktk ndoa yake!Mabeki3 kuliwa iyo hpo ila watoto wa nduguzo ni laana zaidi.Kama dada ana tabia zisizompendeza mmewe abadilike na mmewe atatulia2
naye ajilipe iwe ngoma droo, ila akisema kumuacha?! Ataenda kutana na wanaomuomba tigo
Habari za sunday wana mmu?