WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Urusi wacha waonyeshwe ubabe na Ukraine ni wajinga sanaShida unasoma bila kutafakari ndo maana unajibu off context
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi wacha waonyeshwe ubabe na Ukraine ni wajinga sanaShida unasoma bila kutafakari ndo maana unajibu off context
Exactly!!!!Ukraine itaendelea kuwepo, ila tofauti na nyuma hawato vamiwa kirahisi tena, hili ni funzo kubwa kwao
Nani anaonyeshwa nini sasaUrusi wacha waonyeshwe ubabe na Ukraine ni wajinga sana
Umemjibu vyema kabisaVita ya 2022? Huna habari na 2014? In any case, unatamani Rais wa Ukraine angesalimu amri mara baada ya uwanja wa ndege na air force ya Ukraine kubomolewa na ule msafara wa vifaru vya Warusi wa kilometer kadhaa kufika nje ya Kyiv 2022? Kisha Putin kutoa amri wajisalimishe kwa majeshi ya Urusi mara moja? Do you live in a dreamworld; sort of utopia?
Halafu, unadai Ukraine na Urusi ni nchi moja in the past? Unafahamu historia na demography ya nchi zote za Ulaya? Unafahamu demography ya USA? Tunajadili nini hapa? Hivi umewahi kusoma na kuelewa historia ya continental Europe? This is utter wastage of time!
Sasa wewe mjinga ambae ujui hata kinacho endelea ndani ya nchi yako, utajua ya Ukraine????Wameshapoteza sasa kwa ujinga wao
Says someone akiwa kituo cha daladala huko Mbagala Kibondemaji akitafuna visheti na kashata za machicha ya nazi, huku akisubiri hiece imfikishe Zakeem ili aende kupanda magari ya Mkuranga. kununua nazi za kuuza gengeni kwakeamna cha time will tell kuanzia leo na kuendelea kaa ukijua hakutakuwa na nchi inaitwa ukarine tena inamegwa mdogo mdogo ....afu inakuwa sehehem ya urusi....sawa bwasheee..