Usaliti wa kisiasa: Ukraine wameuona zaidi kuliko pengine

Umemjibu vyema kabisa
 
amna cha time will tell kuanzia leo na kuendelea kaa ukijua hakutakuwa na nchi inaitwa ukarine tena inamegwa mdogo mdogo ....afu inakuwa sehehem ya urusi....sawa bwasheee..
Says someone akiwa kituo cha daladala huko Mbagala Kibondemaji akitafuna visheti na kashata za machicha ya nazi, huku akisubiri hiece imfikishe Zakeem ili aende kupanda magari ya Mkuranga. kununua nazi za kuuza gengeni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…