LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Endeleasio natafuta haya yanatokea tu mfano yeye hakujua najua stori ya Jafari akadai ni bro wa kitaa amsalimie. lakini huyu binti katika stori alishawahi nisimulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleasio natafuta haya yanatokea tu mfano yeye hakujua najua stori ya Jafari akadai ni bro wa kitaa amsalimie. lakini huyu binti katika stori alishawahi nisimulia.
🙌🏾👂👂👂👂ulimwaga ndani ?
MwanakuligetiMwanakulifind........
Unaona sawa wao kuendelea kuitana wifi km si umalaya huo ni nini?PATHETIC.. nimejitahidi nikutane ni wapi huyo malaya mwenzio kasema ni kweli kuwa mkeo na uncle wake wanaendeleza kufanya mapenzi sijaona, wivu wa kijinga kabisa, kiwango cha zama za mawe!
Ulitegemea huyu unayemlala leo angekwambia jema la mkeo?
wewe ni mpumbavu, umeshasema walikua ni majirani kuna bond nyingine hubaki hivyo tu kwa heshima kubwa wala hata kutamaniana hakumo tena.
Najuta kuusoma huu uzi umeniharibia jioni yangu.
Exactly mkurugenzi sisi twasimama wao wanachutamahujaona jitihada zangu nyingi mwanzoni kumuweka sawa, pia wewe ni mwanamke lazima tiwe na mtizamo tofauti katika kushughulikia changamoto kama hii.
Haya mnaotetea semeni na hapa sasa mwanamke km huyu umkanye vipi sasa?**** siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita mbele yetu kulikuwa na boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalkimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Mkeo mshenzi kweli piga chini jitu gani Hilo yani niko na mume wangu eti asimamishe gari ili nimsalimie mtu aliyewahi kugombana na ex,,, Ni ama alikuwa anamringishia huyo jafari kuwa nae kaolewa nk**** siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita mbele yetu kulikuwa na boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalkimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
sasa akipiga chini wote chief atakojolea wapi ?Nakupa nyota mbili, sasa fanya juhudi mke wako ajue kua unamtafuna huyo bint kisha piga chini wote.
Ndoa huwa ni kama shimo la matatizo tu!!
mkuu hii haijakutokea hasa unaomuonya mtu kitu ila analeta visingizio, huyu binti anajua mpaka sababu za wao kuachana, kipindi mama wa ex wake anaumwa hakuwahi kuniga anaenda kumuona na tulikuwa kwenye mahusiano alikuwa anaficha nini.
We sio immature ila ni mshamba, mitandao yenye reputation mbovu nchini katika rank unaanza huo wa FB ikifuatiwa na Twitter, instagram kuna upuuzi wa kiwango cha kati kulingana na page gani unafuatilia.Mara nyingi mtu akinibeza kisa natumia FB huwa namuona mpuuzi, limbukeni na immature sana..