Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Most people are mentally ill & deranged.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea tbia yako na mwenzi wako zinakinzana kiasi ganiNdoa huwa ni kama shimo la matatizo tu!!
Farra wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera kwa kukatafuna endelea mpaka wife wako ajue ,halafu mwambie hako katoto wala hakajui kama wewe ndie mumewe kalikuwa kadogo sana.
Mke wa jamaa hajielewi kaniboaNaona umechafukwa..hatari..mkuu😀😀😀
Wakiwepo wanawake kama wewe 1000. Tanzania itakuwa ya viwanda haswa. BIG UP.Mkeo amekukosea Ni wazi anampenda ex wake sana kuliko wewe, na hiyo kujifanya anasaidia ndugu wa ex anataka kuionyesha familia ya ex kuwa ndugu yao alipoteza mke mwema,,, ujinga ujinga tu anakutumia kukudolishia pasipo kujua Ni kiasi gani anakuumiza, Mimi hata namba ya ex kwenye simu ya mume wangu siitaki labda wawe wamezaa full stop una uvumilivu hata hivyo
Anapenda attention za kisenge kweli,,kaniboa mi nilivyo na wivu 😂😂😂ningemmwagia hata maji ya Moto akiwa amelala pumbavu kabisa,,
Hako kabinti kangekuwa kakubwa ningekushauri ukaoe ila Nina wasiwasi katakusumbua katakuongezea stress, mkeo kayataka
Hapo kwny kumsalimia kaka jafari , kama maisha yao yalikuwa ya kawaida basi alikuwa anataka kushow off kuonekana sasa hv ni maisha safiKuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
We sio immature ila ni mshamba, mitandao yenye reputation mbovu nchini katika rank unaanza huo wa FB ikifuatiwa na Twitter, instagram kuna upuuzi wa kiwango cha kati kulingana na page gani unafuatilia.
Mitandao ambayo ina utimamu ni JF, telegram, linkedin tu kwa sasa.
Jamaaani😍Wakiwepo wanawake kama wewe 1000. Tanzania itakuwa ya viwanda haswa. BIG UP.
Maendeleo hayana jinsia.
Dah mwamba nimekukubali. Ndioninavyotakiwa mzee baba wee ichakate hiyo papuchi mpaka mke aje ajue without a shadow of a doubt kuwa unasambua papuchi mbichiHabari ndugu zanguni,
ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na huyo ex wake waliachana tangu 2012.
Nilimuonya mara kwa mara kuwa kuendelea kuwasiliana nao ni kunikosea heshima na ukizingatia mimi na yeye tulikuwa na malengo alichofanya yeye ni kupunguza mawasiliano ya kuongea ila facebook kwenye comment wanaitana wii kama kawaida.
kilichosababisha kuandika huu uzi ni kuwa mmoja wa mawifi zake ana mtoto mkubwa tu kama miaka 21 kamaliza diploma ya famasi chuo fulani kigamboni cha afya (nimesahau jina) mawasiliano kati ya mke wangu na haka kabinti yaliendelea/yanaendelea licha ya kumkataza yeye anadai huyu binti alikuwa mdogo sana kipindi yeye ana date na uncle wake wala hajui chochote kama walikuwa kwenye mahusiano hivyo si vibaya kuwasiliana naye.
Baada ya muda nikaona isiwe shida ngoja na mie nijenge ukaribu na haka kabinti labda nitapata chance ya kukatafuna nijipooze , nilianza mchakato kama miaka miwili iliyopita lakini kila ikifikia hatua ya kuomba kuonana anasema mpaka aunty awepo ndio atakuja nikawa napotezea, nikikumbushia tena wimbo ni ule ule atakuja home aunty akiwepo na hatuwezi onana sehemu nyingine yoyote.
Mwaka huu mwanzoni kidogo nilianza ona dalili ya mafanikio alinitumia friend request tena facebook tukachat nikaomba tuonane tena safari hii akakubali ila sehemu iwe ya wazi tukapate lunch nikaenda onana naye , mara ya pili tena nikaomba onana naye ila nilimuomba iwe sehemu ya ndani kama hotel sababu mie nimeoa hapa hapa town kuonekana ni rahisi akakubali nikampeleka lodge fulani iko jirani na temeke mwisho kwanza aligoma kabisa kuingia nikamdanganya kuwa nishalipia na nikambebembeleza sana akakubali kwa masharti hatusex na kweli alinikazia kusex akiwa na visingizio chungu nzima, tulivyoachana sikumcheki tena nikajua nishaharibu CV ataenda kunitangaza huko kwao.
jabu kesho jioni natoka kazini akanitext l mambo leo ulikuwa busy, japo siku zote huwa anaanza na shikamoo uncle, nikamwambia bado nasikia machungu ya jana akasema hapana kwanza hatujapima atani trust vipi manake magonjwa mengi pili yeye ana mchumba na mimi nimeoa tutakuwa pamoja for how long?, mwisho aliuliza what if aunty akijua na aunty anamsaidia vitu vingi na anamuona kama ndugu, nikamjibu kiufasaha na mwisho nikaomba tuonane tena.
Safari hii ya tatu ya kuonana nilifanikisha kukatafuna japo yeye alijua nimefanya kwa upendo ila moyoni nilikuwa nalipiza kisasi kupooza machungu sababu wife inaonekana hii familia anaipenda sana kitu ambacho ni kunikosea heshima mimi.
Tangia nimeanza uhusiano na huyu binti nimejikuta namchukia zaidi mke wangu kwani vitu alivyodai huyu binti hajui kiuhalisia anajua, mama yake na huyo ex wake alifariki 2017 kipindi anaumwa wife alikuwa anaenda kumuona sababu wanakaa mtaa mmoja hizi habari zote kanipatia huyu binti pamoja na habari nyingine ambazo hata kama mambo yamepita lazima yanatia wivu.
Nilipanga kumtafuna na kuacha ila nitaendelea kuwa naye ili nizidi kupooza machungu kwakuwa mke amevuruga trust aliyotakiwa kunionyesha.
Sijasema utembee na ndugu za ex wake wote. Huyo mmoja anatosha lakini hakikisha mkeo anajua hilo. Na akishajua mwambie "hata fulani na fulani nao tayri" na umuambie siri chache unazojua alimwambia huyo dogo. Nakuhakikishia hata hautatumia nguvu kusema akate mawasiliano, na ikiwezekana mwambie kabisa kuwa hata mama wa ex anajua mahusiano yako na huyo dogo. Ilimradi tu uwachanganye halafu kaa pembeni uwaangalie wakitifuana wenyewe.kuna wifiake mmoja nilianza wasiliana naye sasaivi hajibu meseji wala nini ngoja niendelee tafuna mtoto wao wakijua maumivu yanatosha.
Daah hiyo ndoa yako ngumu.Vp kipindi upo nae ktk uchumba ashawahi kukuonyeshea hayo mapicha picha ya maex wake?Kuna siku tulikuwa tunapeleka rice cooker nyumbani kwa wife kuna sehemu tulipita (mtaani kwao) mbele yetu kulikuwa na kijiwe cha boda boda wife akaomba nisimamishe gari amsalimie kaka Jafari. nikamwambia utamsalimia tukirudi tutachelewa , wife alilalamika sana kuwa kwanini namnyanyasa na gari langu anashindwa salimia watu yeye watamuonaje ambacho hakujua nilishapata stori za huyo jafari kuwa alikuwa anamtaka na walishawahi pigana jafari na huyo ex wake.
wakati tunarudi akaomba amsalimie tena nikasamamisha gari akamsalimia tukasepa, mbeleni nikamuuliza huyo ni jafari wa serikali za mtaa akasema ndio umemjuaje. nikamwambia najua kila kitu ndio maana sikutaka umsalimie. baada ya sentensi hiyo tulikaa bila kuongea mpaka tunafika home. stori zote za huyo jafari kuoigana na ex wa wife kwa ajiri ya wife ananipa huyo binti.
Inawezekana mzigo kishakula zamani sana.Mkuu unakimeo hicho piga chini nakuhakikishia jaffar akikomaa anakula mzigo
We umeoa ?Hongera kwa kukatafuna endelea mpaka wife wako ajue ,halafu mwambie hako katoto wala hakajui kama wewe ndie mumewe kalikuwa kadogo sana.
Ndicho kinachoenda kutokeaIle issue anayokua nayo mwenza wako kabla ya ndoa inayokuboa ile unamwambia habadiliki, then unaamua muoane tuu bse no one is perfect ukitegemea maybe kwenye ndoa atabadilika. Mara nyingi hiyo issue ndio inakua root cause ya migogoro mingi kwenye ndoa.
Huyo dada ungemuacha tu kwenye uchumba aendelee kuwasiliana na hiyo familia ya ex wake wewe ungetafuta mwingine anayekusikiliza ukamuoa.
Sasa hapa na wewe umeamua kuchomoa betri, mke wako akijua anaweza akamtafuta ex wake ili achepuke kama kisasi kwako.
Muombe Mungu tu akupe hekima wewe ni baba na kichwa cha familia, lakini uzinzi uache. Maana huu nao ni moto unaosubiria kulipuka[emoji134]
Kwanini msiachane tu kama hamuaminiani tabu yote ya nini?? Mi nakuona famba kweli ukute mwenzako hacheat sa jiandae na moto utakao fuata atakukata nyeti hizo!yupo mjini hapa hapa yupo NIT sijawahi ona wanawasiliana ila kupitia ndugu ni rahisi kunizunguka.
Hao wanaokutia moyo hawajaoa bado wanakujaza upepo tu!hujaona jitihada zangu nyingi mwanzoni kumuweka sawa, pia wewe ni mwanamke lazima tiwe na mtizamo tofauti katika kushughulikia changamoto kama hii.