officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 370
- 1,189
Umeshaona nguo alizovaa Kanye West kwenye wimbo wa “I love it”?
Wenzako wanaingiza hela...
Tutafute hela tu
Huyo mrembo picha ya pili ni nani?[emoji39]
Wasanii wetu,kazi yao kubwa ni umbea,umalaya,kusagana,na wanaume kufirana basi
Amini usiamini ni kijana tena kutoka Nyanda za juu kusini. Bora hata ingekua wa hapa hapa Daslam. Unaweza jikuta unazama DM kutema verse
Mtoto jicho jicho, warembo wa 'Southern Highlands' ni kawaida kuwa na ndevu... ngoja tu siku ya UKIMWI ipite!
Bado mpaka leo sijapata kabisa courage ya kuwa na hiyo nyimbo ya "ushamba" kwnye playlist yangu..
Yani nashindwa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hii sio ya zamani hii ni mpya kabisa, mabishoo wa siku hizi unaweza kaa nao maskani ukajikuta umedisa.../
mara vipensi mara vibukta vya kuchanika dunia imekwisha, mwanaume anatamanisha../
We ni fala jamaa anguhii sio ya zamani hii ni mpya kabisa, mabishoo wa siku hizi unaweza kaa nao maskani ukajikuta umedisa.../
mara vipensi mara vibukta vya kuchanika dunia imekwisha, mwanaume anatamanisha../