Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida?
Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze? Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii anayopigia picha leo? Ni kweli miaka yote hii anakula kwa mama ntilie?then why apige picha?
Ni usanii wa kitoto, usio na tija. Na si jambo ambalo watanzania wanahitaji. Huyu alitumia msafara mkubwa kwenda wasilisha bajet ambao haukuwa na ulazima. Zilitumika kodi za Watanzania. Huyu amekosa ubunifu kwenye wizara anapandisha kodi na kuongeza tozo ambazo zinaenda kununulia magari yao.
Wananchi maskini wanaishi kimaskini na matajiri wanazidi kuwa matajiri. Yeye anakuja leta usanii? Ooooh Masharti ya Mganga.....