Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Chizi Maarifa , mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!, huyu jamaa ni bonafide genuine down to earth, angalia tarehe ya bandiko hili Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida?
Kama hali inakuruhusu, you give out the best education kwa mtoto wako, kwa vile uwezo huo anao wa kumsomesha mtoto shule nzuri, then ni haki ya mtoto wake kusomeshwa shule nzuri. Na kwa watu wenye uwezo kusomesha watoto wao shule nzuri, usiposomesha shule nzuri, unapata dhambi!Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze?
Hapo ni yuko Singida kijijini kwao kabisa, akiwa Dar, ataendelea kunyoa BM Salaan.Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii anayopigia picha leo? Ni kweli miaka yote hii anakula kwa mama ntilie?then why apige picha?
P.