Usanii wa Mwigulu Nchemba ni wa kitoto sana. Kwamba haya ndo Watanzania wanataka?

Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida?
Mkuu Chizi Maarifa , mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!, huyu jamaa ni bonafide genuine down to earth, angalia tarehe ya bandiko hili Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze?
Kama hali inakuruhusu, you give out the best education kwa mtoto wako, kwa vile uwezo huo anao wa kumsomesha mtoto shule nzuri, then ni haki ya mtoto wake kusomeshwa shule nzuri. Na kwa watu wenye uwezo kusomesha watoto wao shule nzuri, usiposomesha shule nzuri, unapata dhambi!
Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii anayopigia picha leo? Ni kweli miaka yote hii anakula kwa mama ntilie?then why apige picha?
Hapo ni yuko Singida kijijini kwao kabisa, akiwa Dar, ataendelea kunyoa BM Salaan.

P.
 
Haujawahi kuacha kutetea msisyemu mwenzako hata kwenye mahovyohovyo.
 
Huyu ni msanii tu pascal. Huyu aliyesema kama watu hawataki tozo wahamie Burundi. Kuna jambo gani jipya amefanya wizarani ?zaidi ya kuwaongezea mzigo watanzania. Ana kiburi sana and dont ever mention that he is humble. Ana kauli nyingi za arrogance hasa kielimu na kudhani he is the master.
 
Wanasiasa wenyewe wanaita β€˜charm offensive’, ila huyu jamaa mzushi sana.

Halafu kesho utamsikia anatukaripia twende Burundi kama atutaki tozo zake.
 
Huyu fala ni mshamba sana
 
Halafu unakuta kuna lijinga linaandika mama awabubujisha machiz wananchi Yani linaandika kama chiz fresh hivi
 
Watu wajinga ni mtaji wa wanasiasa...
 
Unataka ugomvi na mazwazwa (wazalendo).
 
huo ni uzalendo wa kiwango cha juu sana Dr Mwigulu ameonyesha, ili kuwaunga mkono vija kiuchumi kwenye uwekezaji wao.

well done ndugu waziri πŸ’ͺπŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…