Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu kwa adabu na utii.Salamu zangu za dhati ziwafikieni ninyi nyote.Natambua majukumu makubwa yanayowakabili katika kujenga taifa hili changa ambalo limepata uhuru huvi karibuni.Nawapongeza wote mnaotumia muda wenu katika kuelimisha na kupasha habali kwa jamii yatu.Hakika mnastahili pongezi nyingi.
Leo natamani sana kujumika nanyi katika kujadili mustakabali wa taifa letu hasa katika kitengo cha elimu.Kikubwa kabisa katika siku ya leo natamani kupata maoni yenu juu ya kichwa cha habari hapo juu.Kikubwa nachotaka jamii itoe maoni ni juu ya hili la vijana kujiunga na kidato cha tano.
Najiuliza kama ni sahii kwa serikari yetu kutumia vigezo sawa katika kuwachagua watoto/ wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano kati ya shule za kata na zile za wizara. Mfano halisi kwa wanafunzi wanaliomaliza kidato cha nne wa shule ya sekondari Mzumbe, Iliboru, Kibaha na zile za kata kama Mvuti sekondari Dar es salaam, au kinyerezi sekondari.Ni vigezo vipi hawa wanatumia ukizingatia mazingira ya elimu waliyokutana nayo.Je ni halari na nini kifnyike.
Nitafurahi sana kama mtanipatia maoni yenu, katiaka ukurasa huu au kwa kunitumia emal yangu cchibirundu@gmail.com. Niwatakie mwisho wa wiki mwema.