Usawa wa kuchaguliwa kidato cha tano.

Usawa wa kuchaguliwa kidato cha tano.

chiwale

New Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Ndugu zangu wapendwa, nawasalimu kwa adabu na utii.Salamu zangu za dhati ziwafikieni ninyi nyote.Natambua majukumu makubwa yanayowakabili katika kujenga taifa hili changa ambalo limepata uhuru huvi karibuni.Nawapongeza wote mnaotumia muda wenu katika kuelimisha na kupasha habali kwa jamii yatu.Hakika mnastahili pongezi nyingi.

Leo natamani sana kujumika nanyi katika kujadili mustakabali wa taifa letu hasa katika kitengo cha elimu.Kikubwa kabisa katika siku ya leo natamani kupata maoni yenu juu ya kichwa cha habari hapo juu.Kikubwa nachotaka jamii itoe maoni ni juu ya hili la vijana kujiunga na kidato cha tano.

Najiuliza kama ni sahii kwa serikari yetu kutumia vigezo sawa katika kuwachagua watoto/ wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano kati ya shule za kata na zile za wizara. Mfano halisi kwa wanafunzi wanaliomaliza kidato cha nne wa shule ya sekondari Mzumbe, Iliboru, Kibaha na zile za kata kama Mvuti sekondari Dar es salaam, au kinyerezi sekondari.Ni vigezo vipi hawa wanatumia ukizingatia mazingira ya elimu waliyokutana nayo.Je ni halari na nini kifnyike.

Nitafurahi sana kama mtanipatia maoni yenu, katiaka ukurasa huu au kwa kunitumia emal yangu cchibirundu@gmail.com. Niwatakie mwisho wa wiki mwema.
 
Mkuu pia umesahau marian,feza, st. fransic, Abbey ,Tusiime ,Royola ,Alpha, na zngnezo zenye mfanano na nilizotaja hapo!! Kwa upande wang naona hamna usawaa! So hyo iwe changamoto kwa serikalii kuziendelza hz shule za kata! Binafsi ni mwathirikaa wa hili coz nimesoma shule ya kata form(1-4) pugu-station secondary na kufaulu kwa mbinde kwenda (5&6) NDANDA boys nw nimehtmu A-level yang nasubr TCU&HESLB waamue yaoo! Bt nafikiria kwa wale ambao wapo vijijin shule za kata hawapajui kwa Mud,Hidden,Mwaramy,Mbuga,Pizo, Osama, na wengne kibaooo! Coz shule za kata kbngo bongo bla kupita kwa mmoja wapo kat ya hao au hta wengne ktaan we ni geneius'!! So maoni yangu hakuna usawaa serikali iangalie katika hiloo! Overrr!!!
 
Aiseeeeh!, nlichofanyiwa na hawa wadudu, sito kisahau maisha yangu yote, kutoka PCB hadi HGE, haf xul yenyewe n balaa ipo hukooo vchakani.
 
Mzumbe,kibaha kilakal na kam hzo ondoen coz uko nako wapo wtot wa maskin kuliko ata kivule kinyerez n.k bt ya kuongelea n wkn feza,marian, Loyola n.k
 
Mzumbe,kibaha kilakal na kam hzo ondoen coz uko nako wapo wtot wa maskin kuliko ata kivule kinyerez n.k bt ya kuongelea n wkn feza,marian, Loyola n.k

inshu miundombinu na walimu! Shule kma kibahaa kuna maabara kubwa tofautii na shule za kataa kama kivule chanikaa so! inshu co kuwa na watoto wa maskini ,kibaha,mzumbe,kilakala ndo maana zikaitwa special school! Nadhan umenipata overrrrrr
 
Huko wanaangalia ufaulu wa mwanafunzi hili lazima tulijue sio kulalamika tu
 
Sasa kama alicheza primary na kufaulu huko ndo abebwe 2 wakat wenzake wanasoma kwa bidii na ukumbuke kuwa wanaofnya vizuri shule hzo za kata huwa wanapelekwa special schools.
 
Elimu haiitaji siasa.
Huwezi kuleta kubebana kwenye elimu.
Tena ya kuongeza maksi ni mbaya sana kama necta walivyofanya.
Katika elimu lazima kukubaliana na plato kuna makundi ya watu kama ifuatavyo:iron-hawa. Waandaliwe kuwa wakulima na wavuvi.
Bronze-hawa wapate elimu ya ufundi kama za veta.
Silver-hawa waandaliwe kulinda nchi military services.
Na
Golden-hawa waandaliwe kuwa watawala(ni makundi ya madactari,engeneers na philosophers)
Ila ni vyema kujua kwamba kila mtu anazaliwa na metal essence ila Narture ndo inaplay part kubwa kumtengeneza mtu.
Mazingira yanawafanya hawa wanafunzi wa kata watofautiane na wanafunzi wa st..
Na ni dhahiri kwamba lazima wawe na background na future carrier tofauti.
So wakati wengine wanaandaliwa kuwa madaktari,wahandisi na watawala wengine wanaandaliwa kuwa wakulima,mafundi wa veta,etc.
There is no way unaweza kuondoa classes ya makundi haya.
Ila kwa vigezo kuwepo.
Wanafunzi wanaweza kuwa promoted kutoka level flani kwenda level flani.
Mfano. Umesoma shule ya kata..umepata vigezo vya kuingia shule maalum advance unapangiwa.
Na ni wengi wameweza kujipromote kwakuwa ni Gold though wako shule za kata.

Cha msingi ni kwamba. Wa mia hapati moja.
Hata kama watapewa maksi za bure na upendeleo mwingine bado kilaza ni kilaza tu.
 
Naomba wakuu mnisaidie.Hivi kama mwanafunzi X kapata I ya point 14 kutoka shule ya kata ya Makoroboi sec na ktk kombi ana ABB,na mwanafunzi Y akapata I ya point 14 kutoka Feza boys au Ilboru na ktk kombi ana AAA,yupi kati ya hao ni special student?
 
Naomba wakuu mnisaidie.Hivi kama mwanafunzi X kapata I ya point 14 kutoka shule ya kata ya Makoroboi sec na ktk kombi ana ABB,na mwanafunzi Y akapata I ya point 14 kutoka Feza boys au Ilboru na ktk kombi ana AAA,yupi kati ya hao ni special student?

ya kataa ndo inabd awe special! Coz hata hiyo ilboru ina tofauti na shule ya kata kimiundombinu, na feza ndo usisemee!
 
Back
Top Bottom