PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia.
Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani kutokea nchini Cyprus kuzuia makombora yaliyokuwa yanatoka moja Kwa moja kutoka Iran huku fighter jets zingine zikizuia makombora kutoka Yemen, Syria na Iraq.
Hizo ndege Zinatumia jet fuel Kwa kiwango kikubwa Sana huku zikirusha patriot za kuzuia makombora na kupiga drones, bila ya hizi ndege za F-35 leohii Israel ingekuwa majivu matupu maana iron Dome system ilizidiwa na mfululizo wa makombora ya Iran.
SAA 3 asubuhi ya Leo uingereza wamepekeka fighter jets za kutosha nchini Cyprus kwajil ya ulinzi, Kwa kifupi nahisi bado mapigano kati ya iran na Israel yataendelea maana na marekani nao wametuma mafuta mengi zaidi kwajili ya ndege zao za F-35