Usd 1 sawa lita 40 petrol.Tujadiliane kama East Africa

Usd 1 sawa lita 40 petrol.Tujadiliane kama East Africa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali.

Leo Libya iliyochukua miaka 15 vita inaanza kuwa Dubai mpya ya watu wenye kujiwekea maisha mazuri na nguvu kubwa 2026.
 
Kila siku nawaambia watu kwenye hizo Forums duniani kuwa laiti nchi za Africa Mashariki zingekuwa na Watu wenye akili zikaungana hata tu kwa Economic integration thabiti sio hii ya kinafki actually hizi nchi ndizo zingekuwa namba moja kiuchumi Africa..Imagine kuna bandari zaidi ya nne ambazo ni gateways za bidhaa kutoka Asia,mafuta,gesi,Nvigable water bodies,madini yote haya tungeweza kuwa na Currency moja ,shirika moja la reli,shirika moja la ndege hakuna ambaye angetusogelea na kikubwa zaidi asilimia 70 ya hili eneo ni eneo lenye usalama
 
Border clearance tu kati ya nchi zetu bado ni maumivu makubwa, yet we dream of conquering oil markets?
 
Llibya lita moja ni Dinar yao 0.15 sawa Tsh 61. Ukiwa na mia sita za kibongo unapata lita kumi. Kwanini Tanzania wasinunue mafuta Libya waje watuuzie hata kwa mia tano lita moja?
 
Kwa meli kutoka Tripoli au Bandari ya Misrata hadi Dar au Tanga, ni siku 15 tu. Kwanini hatununui mafuta Libya? Au sababu Ghadaffi alimsaidia Iddi Amin Vita ya Kagera?
 
Back
Top Bottom