Kila siku nawaambia watu kwenye hizo Forums duniani kuwa laiti nchi za Africa Mashariki zingekuwa na Watu wenye akili zikaungana hata tu kwa Economic integration thabiti sio hii ya kinafki actually hizi nchi ndizo zingekuwa namba moja kiuchumi Africa..Imagine kuna bandari zaidi ya nne ambazo ni gateways za bidhaa kutoka Asia,mafuta,gesi,Nvigable water bodies,madini yote haya tungeweza kuwa na Currency moja ,shirika moja la reli,shirika moja la ndege hakuna ambaye angetusogelea na kikubwa zaidi asilimia 70 ya hili eneo ni eneo lenye usalama