Use & diuse of organ/body parts!

Use & diuse of organ/body parts!

Bayyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,819
Reaction score
2,920
Kama kuna sehemu mwanafunzi hasau hata awe kilaza mmojawapo ni "USE & DIUSE OF ORGAN/BODY PARTS" ktk somo la biology. Je, unamkumbuka mwl wako wa somo hilo? Ni kwa nini watu hawasau hiyo sehemu?
 
Thanx, nimesharekebisha!

Ssubbuttu!
"thax nimesharekebisha!"
umeuona mziki wake ?
Headin amendments always does not allow !
Ukishabugi mistake hapo usisumbuke ku'amend utazeeka! Labda kwa computer user .
Unachoweza kuamend ni thrade's contents only !
Mi ilishanikuta nikauona mziki wake !
 
ssubbuttu!

ni kweli
 
Duh, kumbe heading hairekebishiki mazee! Nilikomaa nayo jana mpaka kijasho kikanitoka wakati ni baridi kali huku kwe2 mbulu. Halafu na2mia simu. Asante, nimepata shule hapo.
 
Back
Top Bottom