Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Unazi pembeni!!!
Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.
Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee kumuona akisukuma kabumbu barani Ulaya.
Hongera Mayele kwa kuendelea kutetema ndani ya Jezi ya DRC. Umeiheshimisha NBC premier league. Umeiheshimisha Yanga.
NB
Eng. Hersi Said usimfanyie kauzibe huyu jamaa kama ulivyofanya kwa Fei Toto. Waache wachezaji wakatafute maisha mbele kwa mbele. Career ya wachezaji mpira ni fupi mno, wanapofikia kwenye peak waruhusu wakatafute changamoto mbele zaidi.