Ushabiki pembeni: Mayele hastahili kucheza soka barani Afrika, atafute mawakala wazuri wa kumvusha

Mmoja kaitwa timu ya taifa na kafunga
Mwingine hajaitwa

Mmoja anawindwa na timu nyingi kwa dau kubwa
Mwingine hata tetesi hakuna
Watu kwa kutunga mambo! Mayele ni timu gani kubwa inamuhitaji na kwa dau la sh ngapi?
 
Africa ya DRC kwao tu ananza benchi bado unataka akacheze bara gani? Yule wa kawaida ila kakuta Tanzania kuna viwango duni ndiyo mnamuona mchezaji. Mayele si lolote zaidi ya kuabudiwa Yanga.
Punguza makasiriko, sasa kama Samatta wanacheza ulaya Mayele ashindwe vipi?

Yanga walitoka kina Shabani Nonda na akacheza Monaco na Uingereza ndio sembuse Mayele?

Labda uongee factor ya umri unaweza kuwa na hoja.
 
Mayele ana Jina kubwa Congo
 
Unazi pembeni!!!

Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.

Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee kumuona akisukuma kabumbu barani Ulaya.

Hongera Mayele kwa kuendelea kutetema ndani ya Jezi ya DRC. Umeiheshimisha NBC premier league. Umeiheshimisha Yanga.

NB
Eng. Hersi Said usimfanyie kauzibe huyu jamaa kama ulivyofanya kwa Fei Toto. Waache wachezaji wakatafute maisha mbele kwa mbele. Career ya wachezaji mpira ni fupi mno, wanapofikia kwenye peak waruhusu wakatafute changamoto mbele zaidi.
Ila aliingia kipindi cha pili dakika ya 74 wakati huo DRC ikiongoza goli moja na yeye dakika ya 83 akafunga la pili! Kwenye first eleven huwa hayumo kila DRC wanapocheza!
 
Mayele no.1 Africa tuache nongwa,Mi Simba tena nacheo Msimbazi kikubwa lakini namkubali.....Ulaya anajua fresh.
Al Ahly ina wachezaji nyota karibu wote lakini mbona hakuna hata mmoja anayewaniwa Ulaya. Ulaya si mchezo bwana mdogo!
 
Africa ya DRC kwao tu ananza benchi bado unataka akacheze bara gani? Yule wa kawaida ila kakuta Tanzania kuna viwango duni ndiyo mnamuona mchezaji. Mayele si lolote zaidi ya kuabudiwa Yanga.
Ww Ni mjinga
 
Mmoja anawindwa na timu nyingi kwa dau kubwa
Kikubwa ni kwenda kucheza, sio kuwindwa. Kama ni kuwindwa, hata Yikpe aliwindwa na Yanga na uzuri zaidi akafanikisha dili. Mayele hata awindwe vipi, hatumuachii kamwe, iwe kwa kumuuza au kwa kuvunja mkataba
 
Mayele no.1 Africa tuache nongwa,Mi Simba tena nacheo Msimbazi kikubwa lakini namkubali.....Ulaya anajua fresh.
Aende sasa, maneno matupu hayasaidii. Samatta ana miaka kadhaa anacheza Ulaya, hakuwa na muda wa longolongo
 
Punguza makasiriko, sasa kama Samatta wanacheza ulaya Mayele ashindwe vipi?

Yanga walitoka kina Shabani Nonda na akacheza Monaco na Uingereza ndio sembuse Mayele?

Labda uongee factor ya umri unaweza kuwa na hoja.
Eti niache makasiriko? Halafu mwishoni mwenyewe unakubali kuwa Mayele ni kijeba !! Anyway Njombe kuna kitongoji kinaitwa Ulaya-si, labda akacheze huko
 
Ila aliingia kipindi cha pili dakika ya 74 wakati huo DRC ikiongoza goli moja na yeye dakika ya 83 akafunga la pili! Kwenye first eleven huwa hayumo kila DRC wanapocheza!
First eleven huwezi kuingia tu ghafla ila kadri performance inavyoongezeka ndiyo unaaminiwa zaidi.Usishangae mechi kadhaa zijazo akaanza kikosi cha kwanza
 
Unazi pembeni!!!

Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.

Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee kumuona akisukuma kabumbu barani Ulaya.

Hongera Mayele kwa kuendelea kutetema ndani ya Jezi ya DRC. Umeiheshimisha NBC premier league. Umeiheshimisha Yanga.

NB
Eng. Hersi Said usimfanyie kauzibe huyu jamaa kama ulivyofanya kwa Fei Toto. Waache wachezaji wakatafute maisha mbele kwa mbele. Career ya wachezaji mpira ni fupi mno, wanapofikia kwenye peak waruhusu wakatafute changamoto mbele zaidi.
Naunga mkono hoja, Mayele ni Osmehen mtupu
 
Back
Top Bottom