petition wasilisheni ninyi wenye vilabu vyenu dhidi ya hao wanasiasa uchwara ndani ya vilabu vyenu.Mkuu nakuunga Mkono kwa hili. Sisi wanachama wa SIMBA tumeumizwa saana na huu upuuzi wa huyu gabachori na amekuwa mbishi saana. Changamoto imekuwa wapi pa kuanzia ila nakuhakikishia tupo tayari kukuunga mkono wewe tuongoze. Tuwasiliane
Mkuu Sheria ifuate Mkondo wake,Clubs hazitakiwi kujihusisha na siasa.Jaribu unaweza ukashinda kesi yako na umbumbu wako. Tatizo lako umekuwa kipofu unaona tu unakopelekwa hata kama ni shimo la moto.
Tuthibitishie kua mbowe ni yanga,Unless otherwise zitakua ni porojoUliwahi kuona wapi Simba au yanga ikaongozwa na kiongozi toka upinzani?
Chadema mjikite kwenye Sera acheni kuhangaika na Mambo madogo,Kura Ni Siri yangu siwezi kuiacha Simba kisa Mo Ni ccm
Hata yanga akina mwakalebela na Mahindi msola wamezindua wiki ya wananchi huko Dodoma Ni siasa tu,lakini Mbowe mnazi wa Yanga hajajitoa yanga
Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifaTuthibitishie kua mbowe ni yanga,Unless otherwise zitakua ni porojo
@kabombe
Mbowe Ni yanga tena Yule wa kugala gala,humjui Mbowe wewe unaniona ona tu,waulize wenzio watakwambia@kabombe
Ivi kwa mfano haji manara akienda kuangalia game ya yanga inahalalisha yeye kua shabiki wa yanga?