The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Unafurahia?Safi tuuu,Mguu wa shingo mguu wa roho
Sanaa,Yaan ningekua mimi na wewe ni utopolo ningekutoa humu JF ni vile sina uwezoUnafurahia?
Kibu D kibu Denga aka mkandaji yuko benchiMchana huu mashabiki wa Simba wamewajeruhi mashabiki wa Yanga waliofika kiwanjani kutazama Burudani ya final ya CAFCC
Tukumbuke viongozi wa Simba walihimiza mashabiki wao kuwadhuru na kuwavamia, Sasa Leo wametekeleza walivoambiwa na viongozi wao
Huu mpira wa miguu ni watu wote, viongozi wa Simba waelimishe mashabiki wao kuwa watu wote kiwanjani hawawezi kuwa upande wako, Kuna watakaokushangilia na kukuzomea
TFF oneni aibu japo mna urafiki wenu na Simba ila toeni adhabu kali Kwa viongozi wa Simba walihamasisha fujo hadi kutaka wapinzani wao wauwawe
SMZ kamateni hao vibaka na kuwafikisha mahakamani Kwa kuvunja amani na utulivu
Hapo ujue leo ni ile gusa achia twende mbeleKibu D kibu Denga aka mkandaji yuko benchi
Safi kabisaMm yanga damu ila wakome safi sana simba