The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
- Thread starter
- #41
vyombo vya usalama vina wajibu wa kulinda raia uwanjani unaachaje upuuzi kama huu unaendelea kwenye mechi kubwa kama hii
vyombo vya usalama vina wajibu wa kulinda raia uwanjani unaachaje upuuzi kama huu unaendelea kwenye mechi kubwa kama hii
Na kombe hampati.Mm yanga damu ila wakome safi sana simba
Ni kichapo kwa kwenda mbele.are u serious unampangia mtu pa kwenda
Mbona Yanga mlishaanzaga kitambo hizi mamboHabari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.
Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Nendeni mkashtaki CASHabari za muda huu wana jamvi

Kalilie hukohuna akili
Waliopigwa waende polisi kutoa taarifa.Mchana huu mashabiki wa Simba wamewajeruhi mashabiki wa Yanga waliofika kiwanjani kutazama Burudani ya final ya CAFCC
Tukumbuke viongozi wa Simba walihimiza mashabiki wao kuwadhuru na kuwavamia, Sasa Leo wametekeleza walivoambiwa na viongozi wao
Huu mpira wa miguu ni watu wote, viongozi wa Simba waelimishe mashabiki wao kuwa watu wote kiwanjani hawawezi kuwa upande wako, Kuna watakaokushangilia na kukuzomea
TFF oneni aibu japo mna urafiki wenu na Simba ila toeni adhabu kali Kwa viongozi wa Simba walihamasisha fujo hadi kutaka wapinzani wao wauwawe
SMZ kamateni hao vibaka na kuwafikisha mahakamani Kwa kuvunja amani na utulivu
Chomoa sasa huo MWIKOWote hawana akili, hao Yanga walioenda na hao madunduka yanayofukuza watu uwanjani. Kwa Yanga wangewaelewa hao mapuyeze, wameshakalia vitatu vya faster huko Morocco.
Wana hasira na hawana tumaini, wangeachana nao wakalie viwili, vitatu na leo washike adabu. Na nyie mapuyeze kila mtu yuko huru kwenda uwanjani, haijalishi si timu yake inacheza, ilimradi ni mpenzi wa kabumbu ni haki yake.
Niko hapa nashushia Brutal zangu bariiidiiii, nikisubiria watu wamepeleka waukalie. Ukiona imekuuma lamba sumu.
#teamrsbberkane#
🧡🧡🧡